SUNGURA-MJANJA
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 200
- 33
kama hukipendi shauri yako, sisi wenzio tunasikia raha tukikiongea. ndio utambulisho wetu kama Mtanzania.
Usiwe mtu wa kuangalia wengine wanafanya nini ndio nawe ufanye kipende kiswahili kama lugha yako ya Taifa mkataa kwao mtumwa ,achana na serikali imeparaganyika haijui isemalo ipingalo wala ifanyayoNikiangalia taasisi zote za Serikali na zile za binafsi wamekuwa wakitumia lugha ya kingereza kama ndiyo lugha ya taifa. ndiyo maana sikipendi kiswahili ingawa ni lugha ninayotumia. kwa sababu hata Serikali yenyewe imekipuuza kiswahili..
Nawasilisha.
kama hukipendi shauri yako, sisi wenzio tunasikia raha tukikiongea. ndio utambulisho wetu kama Mtanzania.
I feel proud 2 speak kiswahili..I really enjoy it.
Wewe ndio ukipendi sio wengine allah!