crankshaft
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,427
- 3,438
Now we know the truth on how church should be. Why don't we return to that system??Kulitukia dhiki ya kanisa.
Mafarisayo walianza kuwakamata na kuwatesa na kuwaua wakiongozwa na Sauli ambaye baadaye alimpokea Yesu akaitwa Paulo...
Kama tunajua mfumo ulikuwa ule, kwa nini tusiurudishe??Kanisa lilipigwa vita Sana, na wengi waliuawa akina stephano na Bathromayo akina Petro etc so lilisamabaratika.
Antiokia...UturukiKulitukia dhiki ya kanisa.
Mafarisayo walianza kuwakamata na kuwatesa na kuwaua wakiongozwa na Sauli ambaye baadaye alimpokea Yesu akaitwa Paulo.
Baada ya dhiki hiyo ndipo mitume walitawanyika na kila mmoja alikimbia kivyake na huko wslipokimbilia ndipo wskaanzisha makanisa kule.