Lilisemwa, Waziri Akapinga--Lakini Sasa Latimia

Jaman, Ee! Tusibakie kulalamika tu na kunyamaza kwa ajili ya ujinga na upuuzi wa ccm, tuwatoe madarakani, tumechoka upuuz wao.
 
kitakacho tokea mwalimu msimamizi wa mtihani atawaambia wanafunzi wake wawe wanamuangalia ishara mfano nikikaa ni A nikikohoa ni B nikishika dirisha ni C nikikohoa ni D hapo watoto wote watafaulu hesabu na huna criteria ya kusema wamecopy!ama kweli tanzania BONGO LALA
 
<br />
<br />
Hiyo ni tofauti na watoto wa primary school,cheating will manipulate.
 
Hii jamani hapana tukatae kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
 
Kuna haja ya lazima kwa Chama cha Walimu Tanzania kupinga na ikiwezekana kuitisha mgomo nchi nzima. Serikali ya CCM inaipeleka nchi pabaya sana. Kama taifa hatupaswi kukaa kimya katika suala zito kama hili.
Pasua baba
 

Sitashangaa haya unayoyasema yakitokea.
 
Natamani sana Wanafunzi nao wagome kufanya mtihani wa namna hiyo kwa somo la Hisabati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…