Lilongwe to Dar

Petiro

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2010
Posts
309
Reaction score
45
Wadau plz nahitaji namba ya simu ya office ya Taqwa buses au Mohammed Trans kwani nataka kusafiri toka Malawi kuja Bongo
 
Mkuu hawapo mtandaoni
 
Wadau plz nahitaji namba ya simu ya office ya Taqwa buses au Mohammed Trans kwani nataka kusafiri toka Malawi kuja Bongo

Kama kuna msikiti jirani na hapo ulipo nenda ukaulizie humo
 
Wewe sogea sogea ufike mpakani.magari ni mengi tu
 
Kama kuna msikiti jirani na hapo ulipo nenda ukaulizie humo

Acha ujinga huo, msikiti umehusu nini hapa. Mwenzio kauliza, hujui si unyamaze tu. Kazi kuleta udini tu. VIVA JF.
 
ulibwanje! 0716757211 hq mtaa wa lindi atakutoa huko au 0653172249
 
Wadau plz nahitaji namba ya simu ya office ya Taqwa buses au Mohammed Trans kwani nataka kusafiri toka Malawi kuja Bongo

Sogea mpaka boda la TZ upande Sumry
 
Nawashukuru sn wadau nimepata basi la PHINDU LUXURY .
 
Acha ujinga huo, msikiti umehusu nini hapa. Mwenzio kauliza, hujui si unyamaze tu. Kazi kuleta udini tu. VIVA JF.

Ehh! ww vipi? mbona umelikoka? kwani misikitini mtu ukiwa na shida si ruksa kwenda kuuliza kwa waungwana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…