Lily Flower amefiwa na kaka yake

Asante sana kwa kuonyesha moyo huo.......msiba haupo Dar, upo Arusha (Karatu). Nitakavyozidi kupata taarifa ndivyo nitakavyoendelea kuwaletea, ili kama kuna members waliopo huko waweze kuhudhurua ili kumfariji mwenzetu

ok, poleni sana
 
Pole sana Lily Flower
Mungu aiweke roho ya bro mahali pema peponi.
 
Hi!
What a bad news these early hours!
Lily pole sana!
Kwa bahati mbaya kibinadamu hakuna neno zaidi ya pole ninaloweza kukuambia ili uelewe ninavyolia kimoyomoyo!
Tumempoteza kaka yetu muhimu sana, lakini mwisho wa siku Mungu ndiye ajuaye yote!

Tuko pamoja sana, na utatuona!
 
Pole sana best Lily, apumzike kwa amani ndugu 'etu!
 

Preta! Peleka pole nyingi toka kwa wanaJF wa Arusha tukionyesha uwepo wetu wa pamoja na tunakuomba utupe updates yote na bila shaka nasi tukifanya namna moja ama nyingine ya kukutana. Tutafanya namna ama nyingine ya kuwasiliana na wakuu! Thankx! Na niwatakie wakati mzuri!
 
Kila nafsi itayaonja ametangulia kaka yetu mpendwa na sisi tutamfuata
 
Naipa Pole Familia Yote na Mungu aitie Nguvu katika kipindi hiki kigumu.
 
Pole sasa Lily Flower na familia yote, Mungu awape faraja
 
Mungu aialaze roho ya marehemu mahali pema peponi.... Amina
pole sana LF....M/Mungu awatie nguvu na kuwafariji katika kipindi hiki kigumu
 
Pole sana Lily kwa msiba.., rip Bro...
 
pole sana da Lily Fl.........,
 
Pole sana Lily, mdio kazi ya Muumba. Kaka apumzishwe mahali pema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…