Ina maana ni spsho kwa ajili ya wanawake wasio na hamu ya tendo la ndoa au wanawake wote inawafaa?Dawa hiyo unayomaanisha ipo...LAKINI Haiitwi Dawa ya Kuongeza nguvu za KIKE...Inawekewa Tafsida kidogo kwa kuiita DAWA YA KUONGEZA HAMU YA TENDO LA NDOA KWA MWANAMKE!
Hivi katika hii ishu ya mapenzi, mbona akina dada wanatumia zaidi Limbwata ili wapendwe(kuwapumbaza) zaidi na wanaume na sijawahi kusikia Limbwata kwa ajili ya wanaume kuwapumbaza wanawake.
Ina maana ni spsho kwa ajili ya wanawake wasio na hamu ya tendo la ndoa au wanawake wote inawafaa?