Imany John
JF-Expert Member
- Jul 30, 2011
- 2,935
- 1,185
Kwa kizungu mwananume wa namna hiyo huitwa-a henperked husband! ahusband who canot disagree with his wife. Lakini huku Africa inakuwaga too much. Nimewahi kufanya kazi idara moja na jamaa na mkewe. Mkewe alikuwa anatembea na jamaa mle mle ofisini na jamaa mwenye mke ndio mpole na mkimyaa sana . Halafu huyo jamaa aliyekuwa anatembea na mkewe alikuwa na sifa chafu chafu za kependa kinky sex. Kinky sex ni sex sex chafu chafu tuu zisizo na adabu .Sasa sijui jama yangu hayo yalikuwa mapenzi kupita kiasi au ndiyo hayo hayo ya uwoga wa kumkalipia mkewe.

Kwa kizungu mwananume wa namna hiyo huitwa-a henperked husband! ahusband who canot disagree with his wife. Lakini huku Africa inakuwaga too much. Nimewahi kufanya kazi idara moja na jamaa na mkewe. Mkewe alikuwa anatembea na jamaa mle mle ofisini na jamaa mwenye mke ndio mpole na mkimyaa sana . Halafu huyo jamaa aliyekuwa anatembea na mkewe alikuwa na sifa chafu chafu za kependa kinky sex. Kinky sex ni sex sex chafu chafu tuu zisizo na adabu .Sasa sijui jama yangu hayo yalikuwa mapenzi kupita kiasi au ndiyo hayo hayo ya uwoga wa kumkalipia mkewe.

Ni kweli kuna wanaume hawawezi sema neno kwa wake zao. Hii si mbaya ni mbaya tu pale mke anapo take advantage ya kupendwa. Tuna mama jirani ya mama yangu tumemzika siku si nyingi; huyo mama ni mama wa nyumbani lakini nasikia alikuwa anafanya kazi before akaacha kwa kuwa mumewe mambo si mabaya na yeye elimu yake si kubwa hivo kazi ilikuwa kama hailipi.

Mumewe amekuwa akimfungulia biashara za hapa na pale ingawa nyingi amekuwa hawezi kuziendeleza kwa hiyo in short mume alikuwa anamtunza wife kikamilifu. Huyu mama yani ni bad news. Vijana mtaani kamaliza. Wazee macho juu kamaliza.

Yani nakumbuka kabla sijaolewa wakati wanajenga nyumba yao yeye anasimamia kuna kijana fundi alitusimulia mama alimwita chumbani na kumlazimisha wa do akakataa. Can you imagine. Na sidhani hata kama ndugu wa mumewe walikuwa na uthubutu wa kumwambia ndugu yao kwani mama ni sterling ndani.

Watu walikuwa wanasema jamaa kalishwa limbwata eti kwa sababu huyo mwanamke anatokea mkoa maharufu kwa karumanzira; ila mimi nilikuwa najua wazi si limbwata ni penzi limekolea maana yani anavyo behave akiwa na mumewe unaweza sema huyu mwanaume ameokota wapi changudoa.

Ni mapenzi moto moto hadharani; kumbe masikini ya Mungu na huko nje ni the same. In short amekufa siku si nyingi na ni baada ya kuugua muda mrefu. Ni wale wamama ambao watu walikuwa wanasema kama fulani ni mzima hamna huu ugonjwa. Hili gonjwa lipo na kama mtu hutulii ni just a matter of time!

Namsikitikia huyu mumewe maana nasikia amepandishwa cheo juzi juzi ni bonge la bosi sasa.

ukiishi maisha ya kiswahili ndo hivyo

dawa hakikisha unaishi maisha ya kuwa busy

wewe na mkeo na ndugu zako pia watafutie kitu cha kuwafanya wawe busy na life zao

wasipate mda wa kuyafuatilia maisha yako

Dia Limbwata kwa mwanaume ni mapenzi ya mkewe..........limbwata liko kwenye heshima, upendo na amani pamoja na ushauri apatao mume toka kwa mke. Vitu vinavyomfanya amthamini mkewe na kumsikiliza. Ninachoshindwa kuelewa ni kuwa kama mume kamsikiza mkewe wao wanaumia, walitaka awasikize wao?! ah
Inapotokea mwanamke katika familia ya wawili wapendanao ana sauti kuliko mwanaume(mumewe) na wanandugu wakaligundua hilo(hasa wa upande wa mume) huanza kulalama ya kuwa kalishwa kitu,mara sio bure,karogwa au kalishwa limbwata.
Ni kwa nini huwa wanafikiria ni limbwata na sio mapenzi ya mume kwa mke wake?na ndio maana anamtii mkewe kwa kufuata kila jambo analomwambia.
Nawasilisha.

Ndugu yangu LittleX, Limbwata ni fikira ya mimi na wewe na sio wanandoa. Limbwata ni vile mimi na wewe tunavyoingilia maisha ya watu na kuamua jinsi ya wao wanavyotaka waishi. Je.. umeshasikia mwanaume au mwanamke anatangaza kesi eti amelishwa limbwata? Mara nyingi ni ndugu, marafiki, magazeti ya uwazi ndio ambao wanachakachua maisha ya watu na kumalizia eti fulani amelishwa limbwata.

Kila wanandoa wana-style au utaratibu wa maisha yao ambao si lazima ukubalike na mimi, wewe, shangazi, baba, etc.. Jinsi utakavyoutazama wewe ..utakuwa unabaki wako na mtazamo wao utabaki kuwa wao kwani wao ndio wanandoa na wala sio mimi, wewe au ndugu na jamaa.

Njoo nyumbani kwangu uone navyochacharika..halafu uniambie nimepata limbwata..kabla mimi sijakutoa mkuku..mtoto wangu atakuwa ameshafungulia mbwa ..kabla hata mke wangu hajasema kitu..Labda utasema limbwata limehamia hadi kwa watoto..(joke)

Hivi limbwata ndo nini au naweza pata tafsiri yake?

Hivi mwanamke naye akiwa anafuata kila kitu tu anachoambiwa , ila nalo si Limbwata ?