Limerence: Nimempenda hanipendi, anayenipenda simpendi

Manyanza

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
16,464
Reaction score
35,629
Fahamu sababu zenye kufanya ûnampenda sana mtu ambaye hakutaki kisha hauna hisia zozote kwa mtu ambaye anayekupenda na kukuthamini.

Huwa inatokea sana katika maisha ya kila siku.Mtu ambaye ûnampenda sana anakuwa hana hisia zozote kwako kisha yule ambaye anakupenda sana unakuwa hauna hisia naye kabisa.

Ukizoea kudharauliwa siku ukiona Watu wanaonyesha HESHIMA ya hali ya juu sana kwako utaamini wamechanganyikiwa kisha utaibua kituko uondoke uende kule unapodharauliwa.

Mtu ambaye amezoea kuteseka huwa anaogopa furaha na huwa anakwepa sana sehemu zinazoweza kumletea furaha.

Ikiwa mara kwa mara unajikuta upo na hisia kali za mapenzi kwa mtu ambaye anakupuuza ujue upo na tatizo la LIMERENCE, siyo hulka ya binadamu ambaye yupo timamu katika afya yake ya akili na mwili kuvutiwa kimapenzi na mtu mwenye kiburi, majivuno, jeuri, dharau na ubabe.Ukiona ûnampenda sana mtu ambaye hana ukaribu wowote na wewe ujue upo na tatizo.

LIMERENCE ni neno la kiingereza lenye maana ya hali isiyoweza kuzuilika ya kiakili na kihisia ambayo husababishwa na hisia za kuvutiwa kimapenzi na mtu mwengine ambapo mtu anakuwa anamfikiria sana mwanaume au mwanamke huku akitamani mtu huyo aonyeshe kiwango kilekile cha upendo ambacho yeye anakuwa nacho kwa mtu husika.

VIASHIRIA VYA TATIZO LA LIMERENCE

Utajuaje kama upo na tatizo la LIMERENCE angalia viashiria vifuatavyo

1.Unakuwa na hisia kali sana za mapenzi kwa mwanaume au mwanamke huyo kuliko kwa mtu yeyote
2.Unatumia muda mrefu sana kumfikiria mtu huyo mara kwa mara unafikiria namna utamuokoa endapo atakuwa kwenye matatizo
3.Unakuwa unatafuta kiashiria chochote kama anakupenda kwa mfano akionyesha tabasamu au kucheka unahisi anakupenda sana kuliko mtu yeyote
4.Unapata utulivu mkubwa sana kwake kuliko ukiwa kwa mtu yeyote
5.Kama ukimuona anazungumza na watu wengine unapata wivu mkali sana juu yake na kuingilia mazungumzo hayo

6.Unatafuta sehemu au mazingira kwa nguvu zote ili mpate kuonana uweze kuwasiliana naye
7.Unaona mazuri yake tu na kupuuza mabaya yake ,mazuri yake unaona ni makubwa sana kuliko mtu yeyote na makosa yake unayapuuza tofauti na watu wengine,inajikuta unavumilia tabia zake zenye maudhi ambazo awali ulikuwa hauwezi kuvumilia kutoka kwa watu wengine

8.Unaamini mwanaume au mwanamke huyo ndiyo "Soulmate" wako, unaamini hauwezi kuishi bila yeye

9.Kama hakuna mawasiliano unakuwa na wasiwasi labda tayari amekuacha na amekwenda kumpenda mtu mwengine,endapo akikaa kimya unakuwa hauna uhakika kama bado anakupenda.

10.Unakuwa na furaha sana anapojibu sms zako, kisha akikupuuza unapata wivu,hasira, unajichukia,unapata uchungu mkali sana,unaumia kooni,unaanza kuweweseka

11.Unajiona mkosaji kisha yeye unamuona ni mkamilifu,muda wote unahofia kuongea kitu chochote ambacho kitamkasirisha
12.Unakuwa na wivu kupitiliza akiwa mbali na wewe unahisi yupo na mwanaume au mwanamke mwengine,akishika simu unahisi anafanya mawasiliano na na mwanaume au mwanamke mwengine hivyo unaichukua simu kuthibitisha.

Limerence inaweza kukufanya uishi kama mtumwa,tambara la deki kwa mwanamke au mwanaume ambaye hakutaki lakini unakuwa na matumaini ya kumbadilisha tabia.Hata baada ya fumanizi za mara kwa mara,vipigo, matusi, kugombezwa, kukaripiwa, kutolewa dosari za muonekano, kunyimwa unyumba au kuingiliwa kinguvu,, kulazwa nje,bado unakuwa na uwezo wa kukopa fedha nyingi sana ili kumfurahisha mwenza wako,unaweza kufungulia biashara, kumtafutia kazi, kumjengea, kusaidia ndugu zake mwenzao wako,kusomesha watoto wa mwenza wako amezaa na wanaume wengine,unaweza kubebaa matatizo ya ukoo mzima wa mwenza wako lakini bado anakuona bwege, atakuona takataka, atakuona lofa masikini wa kutupwa mwisho wa siku anakuacha ghafla kwenda Mwanamke au mwanaume mwengine kisha maisha yake yakiwa magumu sana anarudi kuomba msamaha kwa kudai shetani alimpitia kisha unampa nafasi nyingine kwa sababu unaamini hauwezi kuishi bila yeye, hauwezi kumuacha.

JE LIMERENCE HUSABABISHWA NA NINI?

LIMERENCE HUSABABISHWA NA VYANZO VIFUATAVYO

Msingi mkubwa wa LIMERENCE huwa ni malezi ya utotoni kwa kuzingatia yafuatayo

1.KUISHI MAISHA YA UPWEKE KUPITILIZA UTOTONI

Mtu yeyote ambaye tangu utotoni ameishi maisha ya upweke kupitiliza atajikuta anakuwa na hisia kali sana za mapenzi kwa mwanaume au mwanamke wake ukubwani.
Upweke utotoni husababishwa na kuishi bila baba au mama,au unaishi na baba au mama ambaye hana ukaribu wowote na wewe.
Unaweza kuishi bila baba au mama kwa sababu zifuatazo
#Kifo,talaka, kutengana kwa wazazi,mzazi kufungwa gerezani, mzazi kufanya kazi mbali sana na mahali unapoishi,mzazi kumtelekeza mtoto,mzazi kusafiri safiri mara kwa mara kwa maana hatulii nyumbani.
Ikiwa hali ya mzazi kuwa hayupo nyumbani muda mrefu ikijitokeza kwa muda mrefu sana husababisha mtoto kuanza kulia, kusugua kisigino chini,kususa chakula,kukosa usingizi,kuwa mnyonge sana, kuhuzunika sana .Hali hiyo ya upweke uliopitiliza huendelea mpaka ukubwani katika kutafuta mwenza.

Utatafuta mwenza ambaye atakufanya ujione mpweke muda wote kisha yule ambaye anaonyesha kukupenda sana unakuwa hauna hisia zozote kwake.

Ukizoea kujitutumua ili upate upendo wa mzazi au ndugu zako husababisha ukiwa mkubwa unarudia tabia hiyohiyo kwa Watu ambao hawakutaki, unaamini ukihatarisha uhai wako kwa ajili ya kuwafurahisha watakupenda kama shukurani lakini inakuwa kinyume chake.

2.KUMLEA MZAZI BADALA YA MZAZI KUMLEA MTOTO
LIMERENCE inaweza kujitokeza ukubwani kwa sababu ya kuishi bila mtu yeyote ambaye anajali hisia na mahitaji yako kwa muda mrefu sana nyakati za utotoni.
Pale ambapo unamlea mzazi badala ya mzazi kukulea wewe utajikuta tangu utotoni haujui kupendwa ni kitu gani isipokuwa unajifunza kuwajali Watu wengine muda wote bila kutarajia chochote kutoka kwao.

Unaweza kumlea mzazi badala ya mzazi kumlea mtoto kwa sababu zifuatazo
#mzazi mzee sana,mzazi mgonjwa sana, umasikini uliopitiliza hivyo unaanza kufanya kazi za kumhudumia mzazi badala ya mzazi kumhudumia mtoto
#mzazi kuwa na tabia ya ulevi kupindukia, kucheza kamari, kuvuta bangi, kutumia dawa za kulevya, kuathirika na tabia sugu zenye kutia aibu mtaani,mzazi kuwa na huzuni kupitiliza hivyo unaamua kuwa faraja yake nyakati zote.

Hivyo ukiwa mkubwa tu unakuwa unavutiwa kimapenzi na watu ambao utalazimika kujitoa mhanga kwao ili wakupende kama shukurani lakini wanakuacha mpweke nyakati zote

3.KUPITIA MANYANYASO YA MUDA MREFU UTOTONI

Vilevile unaweza kupatwa na tatizo la LIMERENCE ukubwani kwa sababu tangu utotoni umeishi maisha ya adhabu,mateso,vipigo, matusi, kugombezwa, kukaripiwa, kutolewa dosari za muonekano, kunyimwa chakula, kufukuzwa nyumbani, kulazwa chooni, kukabwa kooni, kutishiwa kuuawa, kuburuzwa sakafuni, kubaguliwa,kufanywa kichekesho, kukosolewa kupitiliza.

Eneo hili linahusisha wale "Scapegoat" wale watoto ambao huonekana laana,mkosi,kituko, huonekana mzigo, huonekana chanzo cha matatizo yote ndani ya familia,wale watoto ambao hugeuziwa kibao pale ambapo watoto wengine wamefanya makosa.

Ile hali ya kupitia manyanyaso kwa muda mrefu sana husababisha mtu ukubwani anakuwa anajenga taswira ya mwenza wa maisha ambaye hayupo katika ulimwengu halisi.

4.KUPUUZWA KWA MAKUSUDI

Hisia za LIMERENCE zinaweza kujitokeza kwa sababu utotoni umeishi huku unapuuzwa kwa muda mrefu sana kwa maana hakuna mtu yeyote ambaye anajali mahitaji yako.Ule usile hakuna anayejali,uwe mzima uwe mgonjwa hakuna anayejali,uende shule usiende hakuna anayejali,uwe unapigwa au salama hakuna mtetezi.hivyo ukiwa mkubwa unakuwa unatafuta mtu wa kukupa faraja ambayo umeikosa kwa miaka mingi sana lakini unakuwa haujui njia sahihi za kufanikiwa eneo hilo.

5.MIGOGORO YA WAZAZI YA MARA KWA MARA
Vilevile hisia kali sana za LIMERENCE zinaweza kujitokeza kwa sababu hauna kumbukumbu za kuona baba na mama wanaishi kwa furaha,amani na upendo isipokuwa kumbukumbu mbaya kama vile kuona baba au mama anapigwa, kufokewa, kutukanwa, kujibiwa vibaya, kugombezwa, kukaripiwa, kutolewa dosari za muonekano, kutishiwa kuuawa, kuburuzwa sakafuni,kuzuiwa kuona watoto, kunyang'anywa mali zake hivyo unajikuta unakuwa na huruma kupitiliza kwa mzazi ambaye anahuzunika muda mrefu.

UFUMBUZI WAKE

Ili kukabiliana na hisia za LIMERENCE angalia yafuatayo
1.UMEJIAPIZA NINI KUHUSU MAPENZI
Ikiwa umejiapiza kwamba hautaki muachane na mwenza wako kwa sababu umeishi bila baba na mama utakuwa na wakati mgumu sana pale ambapo mwenza wako atakupuuza kwa makusudi.

Ikiwa umejiapiza kwamba hautaki migogoro ya kimapenzi utakuwa na wakati mgumu sana pale ambapo mwenza wako anaibua ugomvi kwa makusudi kwa sababu utalazimika kuomba msamaha mara kwa mara hata kama hauna makosa.

Ikiwa umejiapiza kwamba unataka watoto wako wapate malezi ya baba na mama kwa sababu haukupata malezi hayo utakuwa na wakati mgumu sana pale ambapo mwenza wako atabadilika tabia ghafla aanze kuingia kwenye mahusiano na mwanaume au mwanamke mwengine.

Badala ya kujiapiza angalia uhalisia.Unataka kudumu milele na mwenza wako au unataka HESHIMA na utulivu katika familia yako ?

Ikiwa unataka HESHIMA pambana upate heshima na ikiwa haiwezekani muachane kwa amani,ikiwa unataka kudumu na mwenza wako utalazimika kuvumilia kufokewa, kutukanwa, kujibiwa vibaya, kudhalilishwa hadharani, fumanizi za mara kwa mara ili tu uonekane upo na mwenza.

2.JIFUNZE KUSULUHISHA MIGOGORO YA KIMAPENZI

Je hauwezi kustahimili kukosolewa? Je huwa unapaniki haraka ? Je ukipata hasira huwa unakuza matukio kuliko uhalisia?
Epuka tabia zifuatazo pale ambapo kumetokea migogoro,epuka kupaniki, epuka kufoka,epuka kuongea kwa jazba,epuka kumpelekesha mwenza wako,epuka kumpa vitisho,
Ongea unataka nini sio hautaki nini kutoka kwa mwenza wako,terebisha makosa ya mwenza wako kwa lugha ya HESHIMA sio udhalilishaji,epuka kuongea sana kitu kidogo kuna wale wenye gubu na kisirani anaongea masaa mawili kwa kitu kidogo sana,

3.WEKA MIPAKA

Ukiwa na huruma kupitiliza utadhalilishwa kwa makusudi kabisa kwa sababu utaonekana DHAIFU SANA
.Kuwa mpole kiasi ,usiwe mpole mpaka uonekane mtumwa kwa watu,tenda wema kwa kiasi sio kuonekana mwema sana kama vile kuna tuzo ya mtu mwema kwenye jamii

4.JALI HISIA ZAKO NA MAHITAJI YAKO

Ukiwa mpweke jali upweke wako sio kusumbua watu kwa kupiga simu mfululizo na kutuma sms mfululizo,kula vyakula vizuri,vaa vizuri,pendeza,jali afya yako,jiwekee malengo.
Mapenzi hayana bima hivyo epuka utumwa wa mapenzi, ikilazimika kuachana muachane,kama amani ipo tulia.

Epuka kuonyesha hauwezi kuishi bila Mwenza wako atakuwa na KIBURI cha kukutishia MUACHANE.
Onyesha kwamba unamuhitaji mwenza wako kama na yeye atakuwa na HESHIMA kwako ikiwa haonyeshi heshima utamuacha muda wowote bila kujali uwekezaji wako kwake.
Kupendwa sio kitu cha kupigania bali HESHIMA ndiyo ya kupigania.
Hakuna kiashiria cha upendo wa dhati kwa watu wote ulimwenguni lakini kipo kiashiria cha HESHIMA kwa watu wote ulimwenguni.

Mtu anaweza kukutesa sana wakati huohuo anakupenda kwa dhati lakini inakuwa kinyume chake kwa mtu ambaye anakuheshimu.

Badala ya kutafuta upendo wa dhati tafuta HESHIMA tu.Pima upendo kwa HESHIMA tu sio kitu kingine.
 
Unanichanganya sana
 
Asante kwa elimu. Ila je, unaruhusiwa kuoa au kuolewa na mtu usiyempenda lakini yeye anakupenda?
 
Limerence is psychological disorder 😤😂😂😂😂😂😂 hakika JF Kuna mambo kweli kwel mpaka akili zitukae saw ni Uzi maalum wanaopingna ni wale ambao uwa wanataman hawajui nin maana ya kupenda.THANKS FOR .....
 
Back
Top Bottom