Heri ya mwaka mpya! napenda kufahamu kisheria kama kuna mtuhumiwa unamtafuta na una RB je kuna muda kisheria ambao umewekwa na ukipita hata ukimpata uwezi kumfungulia mashitaka? Asanten
There is no limitation if it is criminal offence na hapo naona RB bila shaka itakuwa jinai, kwa jinai hamna kikomo mpaka hapo atakapo patikana ila kwa madai ndyo kuna limitation ya kufungua kesi na hii inadepend na what is disputed.