Limit ya Tigopesa ni kiasi gani?

Limit ya Tigopesa ni kiasi gani?

renamaizo

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2014
Posts
2,134
Reaction score
3,064
Habar wadau,

Naombeni kujua limit ya kuweka pesa kwenye account ya tigopesa ni sh ngapi!?

Nawasilisha
 
Account za bank ninazo ila CRDB ctak jamaa ni wez bora ata NMB

Mwaka jana nimeifunga account yangu ya CRDB, jamaa wezi sana, wana makato ambayo hayaeleweki yanatokea wapi, nimefungua bank ya FNB ya wasaouth Africa, tunaenda vizuri
 
Mwaka jana nimeifunga account yangu ya CRDB, jamaa wezi sana, wana makato ambayo hayaeleweki yanatokea wapi, nimefungua bank ya FNB ya wasaouth Africa, tunaenda vizuri
Ulijiunga na internet banking jamaa wanakata tu mantainance fee kibao ukiupload pesa online wanakata ukiingiza wanakata ukilogin kweny account wanakata ukitoka pia wanakata ukienda ATM wanakata ukichek sakio kwenye SIMbanking wanakata CRDB hawana cha bure kila kitu ni kukata tu
 
Back
Top Bottom