Zaitun kessy
Member
- Jan 16, 2023
- 22
- 38
If You only see what your eyes want to see, how can I be, what you want to be?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli ulichosema, je umefanya research kama wanauziwa au wanawekeza? ,na je tutapata faida gani au athari gani kama DP world wakitake control katika bandari yetu?Wow! Ndiyo maana sie wazalendo tunawaambia wanasiasa wasiigawe bandari yetu; wajifunze kutazama mambo kama sie tunavyotazama.
Research gani tena wakati watu wanataka kuigawana nchi yetu? Amka, mkuu!Ni kweli ulichosema, je umefanya research kama wanauziwa au wanawekeza? ,na je tutapata faida gani au athari gani kama DP world wakitake control katika bandari yetu?
Nimeamka, ni kweli tunapoelekea tunauzwa na wananchi. Ni hatari sanaResearch gani tena wakati watu wanataka kuigawana nchi yetu? Amka, mkuu!