Lina awajibu waliomtukana na picha za nusu uchi, asema waafrika asili yetu ni kuvaa majani

Johnny Sack

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2017
Posts
8,984
Reaction score
19,288
Msanii Lina alikuwa akihojiwa FNL ya EATV na alipoulizwa swali ni kwa nini ametupia picha akiwa amevaa hivyo alisema sio yeye wa kwanza kufanya hivyo kuna watu kibao wanafanya na watu wanawachukulia poa
Alipoambiwa sio utamaduni wetu alisema waafrika asili yao ni kuvaa majani na kujifunika sehemu ya mbele tu kwa hiyo hata kuvaa nguo full ni utamaduni wa kizungu

 
Kusema ukweli hawa dada zetu wanawadhalilisha sana wanawake wenzao wanaojiheshimu.
Wanavaa hovyo sana wala sio wa kuwachekea
 
Dalili za kufilisika kisanii. Anatafuta kiki kwa nguvu ili watu wamuongelee pasi kufikiri anajidhalilisha mbele za watu.
 
Haya avae majani sasa.
Ukahaba tu umemjaa
Atulize mtumbo huo ,akishusha aendelee na umala.ya kazi kuwajaza watoto waliotumboni laana tu.
Hapo keshokutwa tu utasikia baby shower sijui...

Mungu aniepushe na huo wendawazimu
Is this personal princess?
 
Nilikuwaga na mategemeo makubwa na huyu mdada wakati anatoka na ngoja nikimbie ila kumbe ilikuwa nguvu za soda!
 
kama ni asili aache mambo yote ya kisasa kama vile makeup, perfume, mawigi na mambo mengine kibao ili akae ki asili kabisa
 
Atajua mwenyewe, ujinga tu tu, eti mtoto wa mchungaji msweeee.
 
Kama anaupenda uafrika mbona kajichubua sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…