E engmtolera JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 5,149 Reaction score 1,441 Jun 4, 2011 #1 kwa mala ya kwanza mwanadada kutoka china Li Na amemshinda mwanadada kutoka Italy Schiavone ktk yale mashindano ya Tennis french open. French Open women's final - Francesca Schiavone v Li Na LI NA BEATS FRANCESCA SCHIAVONE 6-4 7-6 (7-0) TO WIN THE 2011 FRENCH OPEN
kwa mala ya kwanza mwanadada kutoka china Li Na amemshinda mwanadada kutoka Italy Schiavone ktk yale mashindano ya Tennis french open. French Open women's final - Francesca Schiavone v Li Na LI NA BEATS FRANCESCA SCHIAVONE 6-4 7-6 (7-0) TO WIN THE 2011 FRENCH OPEN
Ms Judith JF-Expert Member Joined Dec 24, 2010 Posts 2,563 Reaction score 929 Jun 4, 2011 #2 kwanza hayo ni majiina mawili, yaani Li Na na sio Lina. nilimuona CCTV walikuwa wanampamba sana. kweli wenzetu wazalendo na yeye hakuwaangusha wachina wenzake. hongera sana Na!!
kwanza hayo ni majiina mawili, yaani Li Na na sio Lina. nilimuona CCTV walikuwa wanampamba sana. kweli wenzetu wazalendo na yeye hakuwaangusha wachina wenzake. hongera sana Na!!