princemikazo
JF-Expert Member
- Jan 10, 2019
- 2,195
- 2,056
Hapana sio tusi, mfano nikisema "F**k" princemikazo. Hakuna tusi hapo. Maana yake ni FULL STAR KINDRED.Kuna hili neno "F**k"Limekua likinitatiza matumizi yake moja kwa moja,,Navojua maana yake ni Kama tusi mfano mtu akisema'F**k you'obvious kakutukana,lakini pia Nilikua nacheki show flani ya Tyga aliwaambia mashabiki zake'I'm real F**kin love you my fans'na mashabiki wakapiga shangwe kabisa!apo ndo nnapo shindwa elewa ni tusi au?pia kuna jamaa aliwahi sema kwenye movie'This is my fcukin gun',,Plz mwenye kujua maana ya hili neno na wakati sahihi wa kulitumia katika sentensi........Asanteni
Aisee.!!Sawa bhanaHapana sio tusi, mfano nikisema "F**k" princemikazo. Hakuna tusi hapo. Maana yake ni FULL STAR KINDRED.
Sent using Jamii Foru mobile app
Vp mkuu nawewe hujui maaa na matumizi yake?Aisee
‘https://jamii.app/JFUserGuide' hutumika kama kielelezo cha mshangao ama hasira, kwa Marekani. Lakini kwa Uingereza, neno hili ni tusi.Kuna hili neno "F**k" limekua likinitatiza matumizi yake moja kwa moja.
Navojua maana yake ni kama tusi mfano mtu akisema'F**k you'obvious kakutukana, lakini pia nilikua naangalia tamasha fulani la Tyga aliwaambia mashabiki zake 'I'm real F**kin love you my fans' na mashabiki wakapiga shangwe kabisa!
Hapo ndo ninapo shindwa elewa ni tusi au? Pia kuna jamaa aliwahi sema kwenye movie 'This is my fcukin gun', Plz mwenye kujua maana ya hili neno na wakati sahihi wa kulitumia katika sentensi anisaidie......
Asanteni