Linah anawaaibisha wazazi wake

mtzmweusi

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
8,658
Reaction score
8,994
Wakuu huyu binti nasikitika sana analeta aibu kwa familia yao kwa vivazi vyake baba yake ni Pastor na zaidi ya yote hapo nyuma Linah alikuwa muinbaji mzuri Kanisani kabla hajaasi.
 
Attachments

  • 1422131054203.jpg
    24 KB · Views: 8,838
Bhana ee hyo naona mm hainihusu kabisa,,, hayo ni maadili ya kwao kuwa mchungaji haina maana kuwa huna mapungufu
cc@gwajima
 
mmmh!!! amelalamika shy land hzo nguo zinapunguza nguvu za kiume. ngoja aje..
 
Wakuu huyu binti nasikitika sana analeta aibu kwa familia yao kwa vivazi vyake baba yake ni pastor na zaidi ya yote hapo nyuma linah alikuwa muinbaji mzuri kanisani kabla hajaasi

Ushawahi kuwashuhudia wazazi wake wakiona aibu juu ya mavazi ya binti yao? Na kilichokufanya uweke hiyo picha ya lina ni nini? Yaani umeitafuta umeichunguza kuanzia mapaja makalio na matiti then ume upload hapa! Sasa We ni mtakatifu au mnafiki?
 
Bint Sanga ndo kafikia ukomo ktk muziki....arudi shule tu kabla hajaanza kubwia miunga
 
Chezea linah wewe!!!! Ametupia kivazi kama cha nick minaj vile!!!!!
 
ulitaka aimbe amevaa bui bui? mzazi wake ajalalamika we ndio unalalamika.Yupo kazin hapo

Bhana ee hyo naona mm hainihusu kabisa,,, hayo ni maadili ya kwao kuwa mchungaji haina maana kuwa huna mapungufu
cc@gwajima

mnapinga nn nyie ni mira ya afrika kucheza na chupi? Au hamjui mwl nyerere aliita shule za msingi na cyo shule tu…… achen kusifia ukahaba bhana au huna dada(fundisha kama unaye na kama huna wapo wanduguzu)
 
mila ya Afrika kwanza sio kuvaa nguo ni kuziba kikojoleo tu na magome na kifuani ni wazi kama ushawaona bush men wanavyovaa au wale wahazabe,hizi nguo ameleta mzungu si utamaduni watu
 
mila ya Afrika kwanza sio kuvaa nguo ni kuziba kikojoleo tu na magome na kifuani ni wazi kama ushawaona bush men wanavyovaa au wale wahazabe,hizi nguo ameleta mzungu si utamaduni watu

Sasa kwa nn asivae magome sasa kuthibitisha ukwel,na hayo magome yalikuwa halili wakati wa ujima coz africa ilikuwa intawaliwa na makolon,na ndoo maana baada ya kila nchi ilipopata uhuru zikapitishwa sheria xa kulinda mila za nchi ukiongea sana tutakuoeleka kwa watu wanaovaa chini ya makalio nguo huku hawajua maana yake nn …
 
Wakuu huyu binti nasikitika sana analeta aibu kwa familia yao kwa vivazi vyake baba yake ni pastor na zaidi ya yote hapo nyuma linah alikuwa muinbaji mzuri kanisani kabla hajaasi

njia mbadala ya kutafuta pesa hiyo mkuu
 
amevaa sawa kama zamani,sababu ni fupi sana hivyo ndio wazee wetu walikuwa wanavaa kabla ya wakoloni namsifu kwa kuendeleza mila.

Tanzania hakuna sheria ya kumzui mtu kuvaa nguo fupi au ndefu,hizo sheria zako peleka uko kwa waarabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…