Linah anawaaibisha wazazi wake

Kazi aliyoichagua ndiyo inamfanya awe hivyo, hana budi. Huwezi kwenda vitani na suti lazima uvae gwanda.
 
amevaa sawa kama zamani,sababu ni fupi sana hivyo ndio wazee wetu walikuwa wanavaa kabla ya wakoloni namsifu kwa kuendeleza mila.

Tanzania hakuna sheria ya kumzui mtu kuvaa nguo fupi au ndefu,hizo sheria zako peleka uko kwa waarabu
Money St. Vipi mku mbona ubobojoka na kupayuka.....hebu soma uloandika chini....
By salawi

mnapinga nn nyie ni mira ya afrika kucheza na chupi? Au hamjui mwl nyerere aliita shule za msingi na cyo shule tu…… achen kusifia ukahaba bhana au huna dada(fundisha kama unaye na kama huna wapo wanduguzu)

mila ya Afrika kwanza sio kuvaa nguo ni kuziba kikojoleo tu na magome na kifuani ni wazi kama ushawaona bush men wanavyovaa au wale wahazabe,hizi nguo ameleta mzungu si utamaduni watu

Sasa mara useme wazungu ...hapo hapo unamwambia aend kwa waarabu Khaah !! Waarabu wameingiaje hapo !
Halafu by the way wadhungu hawakuleta mavazi kwanza!!
salawi
 
Last edited by a moderator:
Apo ata mzazi lazma iitikie kidumu chama cha mapinduzi.
 
Wakuu huyu binti nasikitika sana analeta aibu kwa familia yao kwa vivazi vyake baba yake ni pastor na zaidi ya yote hapo nyuma linah alikuwa muinbaji mzuri kanisani kabla hajaasi
Acha kupiga mayowe. Kamnunulie nguo ndefu uone kama hatazivaa. Inawezekana hana nguo nyingine ndio maana anavaa nguo za wadogo zake.
 
Wewe inakuhusu nini????? Acha kufwatilia maisha ya watu tengeneza yako kizazi chako kifaidike.
 
Nampendaga huyu dogodogo bora leo nimeona japo paja lake!!!
 
tujaribu kuappriciate vipaji vya wengine kama kazi yake inamtaka afanye hivyo acha afanye hee unadhani atakula nini au aunataka avae dira kwani taarabu hiyo au
 
Waja hamuishi mambo....wazazi wakiwarudi watoto siku hizi utasikia "haki za watoto", mama anaitiwa umati wa watu na waandishi mpaka utamhurumia...watoto wakija wakaenda wanavyopenda mnarudi tena aibu kwa wazazi.

Nijuavyo mimi hapo wazazi hawahusiki wala nini....isitoshe nadhani unamjaji zaidi kwa huo uvaaji ila najua wapo wanaovaa mabuibui na nyuso zinainamishwa chini muda wote, ila wanachofanya nyuma ya pazia ni bora tu kwamba hao wazazi hawana uwezo wa kushuhudia...ndio maana nasisitiza kila mtu atabeba msalaba wake na sio wazazi.
 
Teh Teh Linah alikuwa muimba kwaya kwa Ngwajima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…