Linah anawaaibisha wazazi wake

Ushawahi kuwashuhudia wazazi wake wakiona aibu juu ya mavazi ya binti yao? Na kilichokufanya uweke hiyo picha ya lina ni nini? Yaani umeitafuta umeichunguza kuanzia mapaja makalio na matiti then ume upload hapa! Sasa We ni mtakatifu au mnafiki?

We ndio lina mwenyewe hadi jina ni maneno ya watu wa Iringa anakotoka Lina Sanga.
 
Wakuu huyu binti nasikitika sana analeta aibu kwa familia yao kwa vivazi vyake baba yake ni Pastor na zaidi ya yote hapo nyuma Linah alikuwa muinbaji mzuri Kanisani kabla hajaasi.
Kwa sasa mkuu upasta sio kigezo kuwa hiyo familia inajiheshimu. Mapasta ndio wabakaji,wala rushwa,walawiti wa watoto na kila aina ya uchafu. Hizo ni nguo tu wanavaa.Sio wete laini wwngi wao wako hivyo.
 
Wewe mama ake? Au msemaji wa familia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…