ipakue mkitoNgoja niitafute, au km unayo itume hapa mkuu
Kwa nini???haya in matusi kwa linah.,
Saivi kanenepa, alivyononanona, Mashallah!Mkuu nenda mkito ama huu youtube
Huo utamaduni umebaki kwenye fikra tu! Kuna haja gani ya kuvaa kitamaduni Wakati Watanzania wenyewe sio watamaduni, tumejaa u-fake tu, hata vazi la kutu identify hatuna! Muache Lina avae atakavyo, SISI HATUNA UTAMADUNI, mambo ya utamaduni yalikoma 1999!Yaa nyimbo nzuri, ila mpangilio wa mavazi na mazingira haviendani, linah angevaa kitamaduni pale nje ya ile nyumba ya msonge, au angeimba nje ya nyumba ya maana huko masaki kwa mavazi haya aliyo vaa. Ila kazi nzuri.
Wangeacha audio tu, video wamevurunda na Lina hana mvuto! She's trying soooo hard kuwa beyoncé.nyimbo nzuri sauti ya lina imebamba sana 🙂🙂🙂
Bora umeliona hilo, havina uhalisia kabisa kati ya muimbaji na mazingira. Nimeambiwa nimuache Linah kisa nchi haina vazi lla Taifa na utamaduni ulikoma 1999! Aisee nimeshindwa kumjibu.Wangeacha audio tu, video wamevurunda na Lina hana mvuto! She's trying soooo hard kuwa beyoncé.