INAUZWA Linahitajika sofa la kukaa watu wawili kwa haraka.

INAUZWA Linahitajika sofa la kukaa watu wawili kwa haraka.

Tayukwa

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2014
Posts
2,178
Reaction score
4,410
Salaam JF,
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojinadi. Nahitaji sofa used lililo katika hali nzuri la kukaa watu wawili kwa maeneo ya Dsm, Lisiwe na kunguni Offer yangu elfu 50 tu, kama unalo ni PM. Niambie wapi unapatikana usisahau kunitumia na picha yake.
 
Back
Top Bottom