Linalo nitatiza

Siri ya Maisha ya mtu hasa ktk masuala ya mapenzi yapo katka moyo wake mwenyewe, Ni vile mtu anaamua mwenyewe kuishu tu, Mjane ni mtu mwenye akili na maamuzi yake pia. So kuwa na jibu la moja kwa moja kama wanafanya nini naona halipo. Ila naamini kila mtu akiwemo huyo mjane anayo njia ya kukabidhiana na tamaa za mwili wake, au kukidhi tamaa za mwili wake. Kufanya mapenzi na mtu aliyeamua yy iwe kwa siri au uwazi, au kuikana nafsi na kuushinda mwili.
Mjane ana akili yenye utashi pia, sio mnyama useme utamfuga. Happy new yr all.
 

Hapa umenifanya ni cheke .. haya mumie nani kashkilia kitengo chako? naomba nafasi japo kidogo
 

Nashukuru kwa jibu lako zuri. Happy new year to u too.
 
I wish I could know another way of reducing the desires. But what I know is vey limited and always is the same. Sasa namna nyingine ni namna gani zaidi ya chapa mtu?
 
kwani wewe kabla ya kuolewa ulivyokuwa single ulikuwa unafanyaje/ishije????ndivyo itakavyokuwa utakapokuwa mjane.....kwanza hamu itatoka wapi,ukifikiria majukumu sasa umeachiwa peke yako???
 

dada pearl umeeleza sawa kabisa, ubarikiwe
 
kwani wewe kabla ya kuolewa ulivyokuwa single ulikuwa unafanyaje/ishije????ndivyo itakavyokuwa utakapokuwa mjane.....kwanza hamu itatoka wapi,ukifikiria majukumu sasa umeachiwa peke yako???

We mama we ukizoea kila siku kupata dozi you become addicted. Kabla ya kuolewa pengine hukuwa unafanya kabisa ile kitu.Sasa kama ulikuwa unaipata kila siku je? Well, majukumu yapo ila sijui kama yanaondoa body needs 100%!!
Tuwe wakweli, mtu anatakiwa kuvumilia. Ila mpaka wapi ndio issue? Leo hii wake kwa waume kuachana kwa mwezi mmoja kunaleta stress za kufa mtu. Je kuachana kusikojulikana ndio niaje?
Mimi ningeomba hekima ya mungu maana inawezekana kabisa mtu kugeuka mama huruma, lol!
 

kama kabla ya kuolewa ulikuwa hufanyi,baada ya kuwa mjane sidhani kama itakuwa tatizo!...mwili una njia zake za kuadjust ikiwepo utataka isipokuwepo hutataka!!...
lazima tujifunze kuwa na self control,sisi ndio tunalitawala tendo la ndoa na sio lenyewe ndio linatutawala,pia ndoa sio ngono peke yake!
 

Please write a book. I will the first one to buy maana hiyo nimeisikia sana ila kwa maandishi na maneno. Matendo huwa yanaeleza tofauti na maneno mara nyingi.
Ni kweli ni muhimu sana kuji control. Lakini urahisi wa kufanya hivyo kabla ya ndo is one thing na urahisi wa kufanya hivyo baada ya kuzoea kulala na kuamka nayo ni kitu kingine cha ziada. Na tendo la ndoa sio ngono by the way....ila ukijiachia hovyo huko nje ndio inakuwa ngono.
Ask the holy ghost to spare the trouble when it comes to this maana sijui bwana inakuwaje.
 

yaani uhimili mikiki mikiki ya balehe wakati hormones ziko at peak,uje ushindwe baadae kisa umezoea ngono??? mie bado kuamini huu utumwa wa hivi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…