Rafiki yangu ana mchumba wake, Jambo la ajabu na la kushangaza yule mchumba anamueleza rafiki yangu kuwa hampendi anajilazimisha lakini atamvumilia. Mimi na rafiki yangu tumejaribu kumuhoji tatizo ni nini ameshindwa kueleza. Mimi niliwahi kumuhoji tukiwa wawili tu akasema kuna wakati huwa ampenda na kuna wakati anaulazimisha tu moyo wake. Waungwana naomba maelezo yenu nini kifanyike kwa Tatizo kama hili?

Vijisenti tusiende mbali sana, kabla sijaamua kuwa mpweke nilikuwa na mchumba wa aina hiyo. Mwanzo tulipendana lakini baadae akageuka na kuniambia hajisikii kuwa na mimi lakini hakuniambia suala la kuachana. Baadhi ya watu wakaniambia huenda ana mapepo lakini kumbe alitokewa na mwanaume mwingine akampenda. Nikaamua kumuacha, akaanza uhusiano na mchumba mpya, baada ya mwezi mmoja yule mchumba akafariki. yaani sina raha mimi ndo nimepewa kashfa ya kumroga yule mwanaume. Yaani umenikumbusha machungu.
labda zile phd za kupewa... tena na chuo ambacho tokea kianzishwe hakijawahi ktoa hata masters....Mkuu hilo nalo linahitaji phd?
Sasa sijui ni wewe au rafiki lakini vyovyote mhusika ni mujinga.Rafiki yangu ana mchumba wake, Jambo la ajabu na la kushangaza yule mchumba anamueleza rafiki yangu kuwa hampendi anajilazimisha lakini atamvumilia. Mimi na rafiki yangu tumejaribu kumuhoji tatizo ni nini ameshindwa kueleza. Mimi niliwahi kumuhoji tukiwa wawili tu akasema kuna wakati huwa ampenda na kuna wakati anaulazimisha tu moyo wake. Waungwana naomba maelezo yenu nini kifanyike kwa Tatizo kama hili?
Kama unatokea Rukwa unalo hilo lol!Vijisenti tusiende mbali sana, kabla sijaamua kuwa mpweke nilikuwa na mchumba wa aina hiyo. Mwanzo tulipendana lakini baadae akageuka na kuniambia hajisikii kuwa na mimi lakini hakuniambia suala la kuachana. Baadhi ya watu wakaniambia huenda ana mapepo lakini kumbe alitokewa na mwanaume mwingine akampenda. Nikaamua kumuacha, akaanza uhusiano na mchumba mpya, baada ya mwezi mmoja yule mchumba akafariki. yaani sina raha mimi ndo nimepewa kashfa ya kumroga yule mwanaume. Yaani umenikumbusha machungu.
Vijisenti tusiende mbali sana, kabla sijaamua kuwa mpweke nilikuwa na mchumba wa aina hiyo. Mwanzo tulipendana lakini baadae akageuka na kuniambia hajisikii kuwa na mimi lakini hakuniambia suala la kuachana. Baadhi ya watu wakaniambia huenda ana mapepo lakini kumbe alitokewa na mwanaume mwingine akampenda. Nikaamua kumuacha, akaanza uhusiano na mchumba mpya, baada ya mwezi mmoja yule mchumba akafariki. yaani sina raha mimi ndo nimepewa kashfa ya kumroga yule mwanaume. Yaani umenikumbusha machungu.
Mimi ningejitoa mapema na kujenga urafiki wa kawaida tuuuu.