GAZETI JF-Expert Member Joined Feb 24, 2011 Posts 5,286 Reaction score 6,736 Jul 5, 2011 #21 afrodenzi said: Sasa huyo rafiki yako Bado anafanya nini na huyo msichana Kama ameshaambiwa hapendwi??? Click to expand... Lakini kwa nini mnakuwa na matamko mazito kama hayo, unajua mtu mwingine anaweza hata kujiua!
afrodenzi said: Sasa huyo rafiki yako Bado anafanya nini na huyo msichana Kama ameshaambiwa hapendwi??? Click to expand... Lakini kwa nini mnakuwa na matamko mazito kama hayo, unajua mtu mwingine anaweza hata kujiua!