Lincoln, before and after the Civil War

Lincoln, before and after the Civil War

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
1636919893508.png
Lincoln akiwa Rais wa Marekani mwaka 1861 iliibuka vita ya wenyewe kwa wenywe chanzo kikiwa haki za watumwa.
 
Huyu jamaa mwaka 1832 alipoteza kazi poa akashindwa uwakilishi lakini haikutosha mwaka 1833 akafirisika kwenye biashara yake, 1835 mchumba wake akafa, 1836 akapata nervous breakdown (MDs watupe kiswahili fasaha), 1843 akapigwa chini Congress, 1846 akachsguliwa kama Congress member, 1854 defeated for US Senate, 1856 defeated for nomination for vice president, 1858 again defeated for US Senate.

In 1860 he was elected as US president and he is humbly know as a father of Democracy as he gave his own definition of democracy as the Government of the people by the people and for the people.

That's Abraham Lincoln a lawyer and an honest man.
 
Huyu jamaa wamarekani wameshindwa kumpa credits zake kwenye kupinga ubaguzi na kuwapa uhuru wa kujieleza..

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
KAma ambavyo Red Giant husema, mambo huwa hayako vile tunayajua au kuyaona. Lincoln hakuwa muumini wa haki za binadamu au mpinga Ubaguzi au utumwa kama ambavyo dunia tumeaminishwa. Lincoln alipambana kufuta Utumwa, kwa lengo tu la kuuokoa Muungano wa Marekani.

Hii ni nukuu yake kutoka kwenye kitabu cha Historia ya America cha Garraty & Carnes.

If I could save the Union without freeing any slave, I would do it; and if I could save it by freeing all the slaves, I would do it; and if I could do it by freeing some and leaving others alone, I would also do that’.
 
Abraham Lincoln, the 16th and probably greatest president of the United States.
 
KAma ambavyo Red Giant husema, mambo huwa hayako vile tunayajua au kuyaona. Lincoln hakuwa muumini wa haki za binadamu au mpinga Ubaguzi au utumwa kama ambavyo dunia tumeaminishwa. Lincoln alipambana kufuta Utumwa, kwa lengo tu la kuuokoa Muungano wa Marekani.

Hii ni nukuu yake kutoka kwenye kitabu cha Historia ya America cha Garraty & Carnes.

If I could save the Union without freeing any slave, I would do it; and if I could save it by freeing all the slaves, I would do it; and if I could do it by freeing some and leaving others alone, I would also do that’.
Hakuna jambo gumu kama kufanya maamuzi pale unapokuwa mtu wa mwisho kuamua kuhusu jambo
 
Kwnye hii movie ya "Abraham Lincoln Vampire Hunter(2012)" ni kweli yalitokea? Ni movie nzuri kuiangalia.
 
Huyu jamaa mwaka 1832 alipoteza kazi poa akashindwa uwakilishi lakini haikutosha mwaka 1833 akafirisika kwenye biashara yake, 1835 mchumba wake akafa, 1836 akapata nervous breakdown (MDs watupe kiswahili fasaha), 1843 akapigwa chini Congress, 1846 akachsguliwa kama Congress member, 1854 defeated for US Senate, 1856 defeated for nomination for vice president, 1858 again defeated for US Senate.

In 1860 he was elected as US president and he is humbly know as a father of Democracy as he gave his own definition of democracy as the Government of the people by the people and for the people.

That's Abraham Lincoln a lawyer and an honest man.

1832, 1833, 1835, 1836, 1843, 1846, 1854, 1856 ----in those years of defeats and calamities but he didn't despair, we learn that persistence is a mother of success, no desperate in life.
 
Kwa heshima yake manowari kubwa sana imepewa jina lake.

Hapo hawakumuheshimu bali wamemkejeli, Wakati wowote hiyo Manowari inaweza kuzama nk, hapo "heshima" yake nayo itakuwa imezama nk, 🤣, angalia heshima, mfano (JFKIA) J.F Kennedy international airport .
 
1832, 1833, 1835, 1836, 1843, 1846, 1854, 1856 ----in those years of defeats and calamities but he didn't despair, we learn that persistence is a mother of success, no desperate in life.
Consistency and persistence. Nakumbuka nilipokua Form five nilitengeneza morning speech nzuri sana kuhusu maisha ya huyu jamaa nikaipa jina NEVER GIVE UP
 
Back
Top Bottom