seifutz
Member
- Jul 18, 2021
- 34
- 114
Kulinda uchumi wako si mpaka uwe na degree ya uchumi kutoka Stanford University hapana. Kinachotakiwa ni nidhamu ya fedha na kujifunza zaidi kuhusu fedha.
Elimu ya fedha ni elimu muhimu sana kwa ustawi wa maisha yetu ya kila siku. Usichoke kujifunza kuhusu fedha ukiwa bado unahitaji fedha.
Elimu ya fedha ni elimu muhimu sana kwa ustawi wa maisha yetu ya kila siku. Usichoke kujifunza kuhusu fedha ukiwa bado unahitaji fedha.