Linda maamuzi yako

Linda maamuzi yako

Void ab initio

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2015
Posts
5,720
Reaction score
5,659
Kila mlima unaokutana nao mbele yako umebeba Siri ya Mafanikio yako.
Linda Moyo wako "Usinung'unike" Kutokana na magumu unayokutana nayo katika mizunguko yako.
Lakini ufundishe moyo wako Kuamini mafanikio yaliyo mbele yako. Usiangalie nani anasema nini na yupi anasema kipi juu ya maisha yako.
Jambo la msingi fanya kazi kwa bidii zote na simamia mipango yako.
Pia jiamini kwa maamuzi yako, Hakika siku moja utajikuta wewe si mtu wa kawaida bali Mtu wa "thamani" sana.
Waliokuwa wanakudharau watakuheshimu. Mungu akuinue "daima" katika Waliokuwa wanakudharau watakuheshimu. Mungu akuinue "daima" katika maisha yako.
 
Tafakari nzuri sana asubuhi ya leo

Amina
 
Back
Top Bottom