the guardian 17
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 395
- 570
Yunus Nurdin amechukua fomu kugombea Uenyekiti wa Kijiji cha Mihima kilichopo Jimbo la Mtama Mkoani Lindi. Yunus na wenzake walikuwa CCM, wamejiunga ACT wazalendo na kupokewa na Makamu Mwenyekiti Bara, Ndugu Isihaka Mchinjita.