Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Msimamizi wa uchaguzi halmashauri ya Mtama Anderson Msumba leo Novemba 29,2024 ametangaza matokeo ya jumla ya uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika Novemba 27 mwaka huu katika halmashauri hiyo.
Msumba amesema kati ya nafasi za uongozi 2,325 zilizoshindaniwa na vyama vinne vya siasa,Chama cha Mapinduzi CCM kimeshinda nafasi 2290 sawa na asilimia 98.49,Chama cha Wananchi CUF kimeshinda nafasi 26 sawa na asilimia 1.12,Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kimeshinda nafasi 5 sawa na asilimia 0.22 huku ACT Wazalendo wakishinda nafasi 4 sawa na asilimia 0.17.
Source: Mashujaa Radio