Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Wakuu,
Chama Cha Siasa: Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Matokeo ya Uchaguzi wa 2020: Alishinda kwa kura 20,501, akimshinda Ngombale Vedasto Edgar wa CUF aliyejikusanyia kura 8,513.
Elimu ya Sekondari: Aliendelea katika Tambaza Secondary School (1986–1990) na baadaye Pugu High School (1991–1993).
Elimu ya Juu: Alihitimu Advanced Diploma katika uhasibu mwaka 1999, na baadaye alipata Masters Degree katika Accounting and Finance (2013–2015).
Alipata Certificate kutoka National Service Training mwaka 1991 na Malawi Institute on Management mwaka 2007.
Machine Operator katika Colgate Palmolive (1994)
Auditor katika Lindi Town (2000–2004)
Accountant katika Tanzania National Roads Agency (2004–2011)
Mkurugenzi wa Ifakara (2016–2020)
Mjumbe wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM (2015–2017)
Naibu Waziri wa Madini: Aliteuliwa mwaka 2020 lakini aliondolewa baada ya kushindwa kusoma kiapo vizuri.
Chama Cha Siasa: Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Matokeo ya Uchaguzi wa 2020: Alishinda kwa kura 22,521, akimshinda Bungara Selemani Said wa ACT Wazalendo aliyejikusanyia kura 10,096.
Elimu ya Sekondari: Alijiunga na Tabora Boy’s Secondary School (1993–1996) na baadaye Mzumbe Secondary School (1997–1999) ambapo alihitimu ACSEE.
Elimu ya Juu: Alipata Bachelor’s Degree in Political Science kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (2001–2004) na Masters in Public Administration kutoka Chuo Kikuu cha Dodoma (2010).
Afisa Rasilimali Watu katika Masasi (2007–2011)
Kaimu Mkuu wa Idara ya Rasilimali Watu katika Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa (2011–2012)
Afisa Mwandamizi wa Rasilimali Watu katika TAMISEMI (2012–2014)
Mkurugenzi Mtendaji wa Nanyumbu (2014–2015) na Mafia (2015–2016)
Mkuu wa Wilaya ya Wanging’ombe (2016–2020)
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Kata ya Masoko (2000–2001)
Chama Cha Siasa: Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Matokeo ya Uchaguzi wa 2020: Aliingia bungeni kama mbunge wa Lindi Mjini kwa kuchaguliwa na wananchi wa jimbo hilo.
Elimu ya Sekondari: Alisoma katika Shule ya Sekondari Ruvu (1981–1982) na Shule ya Sekondari Ndanda (1983–1984), alihitimu na Cheti cha Elimu ya Sekondari (CSEE).
Mafunzo ya Kitaaluma: Alipata Cheti cha Utendaji kutoka Institute of Adult Education mwaka 1987.
Diwani katika Jimbo la Lindi (2006–2014)
Naibu Meya wa Manispaa ya Lindi (2014–2015)
Mjumbe wa Kamati ya Fedha katika Ofisi ya Waziri Mkuu (2008–2015)
Mbunge wa Lindi Mjini (2020–2025)
Kamati za Bunge:
Mjumbe wa Kamati ya Bajeti (2015–2018)
Mjumbe wa Kamati ya Uwekezaji wa Umma (2021–2023)
Chama Cha Siasa: Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Matokeo ya Uchaguzi wa 2020: Alishinda kiti cha ubunge kwa kura 50,254, akimshinda Lipwata Said wa CUF aliyejikusanyia kura 5,980.
Elimu ya Sekondari: Aliendelea na masomo katika Mtwara Technical Secondary School (1981–1984) na Arusha Technical College (1985–1988), alihitimu na Full Technician Certificate.
Mwenyekiti wa Tawi la CUF (2008–2014)
Mbunge wa Liwale (2015–2020)
Mbunge wa Liwale (CCM) (2020–2025)
Chama Cha Siasa: Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Alishinda kiti cha ubunge mwaka 2020 kwa kupata kura 11,690, akimshinda Mtoto Mwema Exavery Syprian wa ACT Wazalendo ambaye alipata 5,388.
Elimu ya Sekondari: Aliendelea katika Lindi Secondary School (1981–1984).
Mafunzo ya Ualimu: Alihitimu Nachingwea Teachers Training College mwaka 1987 na kupata Cheti cha Ualimu.
Baada ya kuwa mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (2005–2015), aliteuliwa kuwa Mwenyekiti wa WAMA na alikua Balozi wa Kiswahili Afrika.
Alikuwa Makamu wa Rais wa Wake wa Marais wa Afrika na mjumbe wa Kikundi cha Uongozi wa Juu kuhusu Haja na Haki za Vijana.
Amandus Julius Chinguile ni mbunge wa Nachingwea kutoka mkoani Lindi, akitokea Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Aliingia rasmi bungeni mwaka 2020 baada ya kushinda kiti cha ubunge kwa kura 36,761, akimshinda Mmoto Mahadhi Yusuf wa CHADEMA aliyepata 27,801.
Elimu ya Sekondari: Aliendelea katika St. Anthony Secondary School (alihitimu 1996).
Elimu ya Juu: Alihitimu Bachelor's Degree - International Medical and Technological University (2007–2012).
Pia, alianzisha na kuongoza Chinguile Entertainment.
1. Francis Kumba Ndulane - Mbunge wa Kilwa Kaskazini
Chama Cha Siasa: Chama Cha Mapinduzi (CCM)Matokeo ya Uchaguzi wa 2020: Alishinda kwa kura 20,501, akimshinda Ngombale Vedasto Edgar wa CUF aliyejikusanyia kura 8,513.
Elimu:
Elimu ya Msingi: Alianza masomo yake katika Uwanjani Primary School kuanzia mwaka 1980 hadi 1986.Elimu ya Sekondari: Aliendelea katika Tambaza Secondary School (1986–1990) na baadaye Pugu High School (1991–1993).
Elimu ya Juu: Alihitimu Advanced Diploma katika uhasibu mwaka 1999, na baadaye alipata Masters Degree katika Accounting and Finance (2013–2015).
Alipata Certificate kutoka National Service Training mwaka 1991 na Malawi Institute on Management mwaka 2007.
Kazi:
Karani katika Tanzania Telecommunications Company (1990)Machine Operator katika Colgate Palmolive (1994)
Auditor katika Lindi Town (2000–2004)
Accountant katika Tanzania National Roads Agency (2004–2011)
Mkurugenzi wa Ifakara (2016–2020)
Safari ya Kisiasa:
Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM (2012–2017)Mjumbe wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM (2015–2017)
Naibu Waziri wa Madini: Aliteuliwa mwaka 2020 lakini aliondolewa baada ya kushindwa kusoma kiapo vizuri.
2. Kasinge Ally Mohamed - Mbunge wa Kilwa Kusini
Chama Cha Siasa: Chama Cha Mapinduzi (CCM)Matokeo ya Uchaguzi wa 2020: Alishinda kwa kura 22,521, akimshinda Bungara Selemani Said wa ACT Wazalendo aliyejikusanyia kura 10,096.
Elimu:
Elimu ya Msingi: Alianza masomo katika Miteja Primary School (1986), Raha Leo Primary School (1987), Kijitonyama Kisiwani Primary School (1989–1990), na alihitimu Mnazi Mmoja Primary School (1992) kwa CPEE.Elimu ya Sekondari: Alijiunga na Tabora Boy’s Secondary School (1993–1996) na baadaye Mzumbe Secondary School (1997–1999) ambapo alihitimu ACSEE.
Elimu ya Juu: Alipata Bachelor’s Degree in Political Science kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (2001–2004) na Masters in Public Administration kutoka Chuo Kikuu cha Dodoma (2010).
Kazi:
Afisa Utawala katika Halmashauri ya Mtwara Mikindani (2005–2007)Afisa Rasilimali Watu katika Masasi (2007–2011)
Kaimu Mkuu wa Idara ya Rasilimali Watu katika Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa (2011–2012)
Afisa Mwandamizi wa Rasilimali Watu katika TAMISEMI (2012–2014)
Mkurugenzi Mtendaji wa Nanyumbu (2014–2015) na Mafia (2015–2016)
Mkuu wa Wilaya ya Wanging’ombe (2016–2020)
Safari ya Kisiasa:
Mjumbe wa Kamati ya Siasa Wanging'ombe (2016–2020)Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Kata ya Masoko (2000–2001)
3. Hamida Mohamedi Abdallah - Mbunge wa Lindi Mjini
Chama Cha Siasa: Chama Cha Mapinduzi (CCM)Matokeo ya Uchaguzi wa 2020: Aliingia bungeni kama mbunge wa Lindi Mjini kwa kuchaguliwa na wananchi wa jimbo hilo.
Elimu:
Elimu ya Msingi: Alianza masomo katika Shule ya Msingi Nachingwea (1974–1980), alihitimu kwa Cheti cha Elimu ya Msingi (CPEE).Elimu ya Sekondari: Alisoma katika Shule ya Sekondari Ruvu (1981–1982) na Shule ya Sekondari Ndanda (1983–1984), alihitimu na Cheti cha Elimu ya Sekondari (CSEE).
Mafunzo ya Kitaaluma: Alipata Cheti cha Utendaji kutoka Institute of Adult Education mwaka 1987.
Kazi:
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake CCM (UWT) Lindi (2007–2015)Diwani katika Jimbo la Lindi (2006–2014)
Naibu Meya wa Manispaa ya Lindi (2014–2015)
Mjumbe wa Kamati ya Fedha katika Ofisi ya Waziri Mkuu (2008–2015)
Safari ya Kisiasa:
Mbunge wa Viti Maalumu (2015–2020)Mbunge wa Lindi Mjini (2020–2025)
Kamati za Bunge:
Mjumbe wa Kamati ya Bajeti (2015–2018)
Mjumbe wa Kamati ya Uwekezaji wa Umma (2021–2023)
4. Kachauka Zuberi Mohamedi - Mbunge wa Liwale
Chama Cha Siasa: Chama Cha Mapinduzi (CCM)Matokeo ya Uchaguzi wa 2020: Alishinda kiti cha ubunge kwa kura 50,254, akimshinda Lipwata Said wa CUF aliyejikusanyia kura 5,980.
Elimu:
Elimu ya Msingi: Alianza masomo katika Mpigamiti Primary School (1974–1980).Elimu ya Sekondari: Aliendelea na masomo katika Mtwara Technical Secondary School (1981–1984) na Arusha Technical College (1985–1988), alihitimu na Full Technician Certificate.
Kazi:
Alihudumu kama Chief Miller Engineer katika Mkoani Traders (2011–2014), na Head Miller Engineer katika Bakhresa Group (SSB) (2000–2010).Safari ya Kisiasa:
Mjumbe wa CCM (1990–1995)Mwenyekiti wa Tawi la CUF (2008–2014)
Mbunge wa Liwale (2015–2020)
Mbunge wa Liwale (CCM) (2020–2025)
Kamati za Bunge:
Mjumbe wa Kamati ya Miundombinu (2015–2023)Uzoefu wa Kisiasa:
Alianza kama mjumbe wa CCM, kabla ya kuhamia CUF, na kurejea CCM mnamo 2020, akishinda kiti cha ubunge kwa kishindo.5. Salma Rashid Kikwete - Mbunge wa Mchinga
Chama Cha Siasa: Chama Cha Mapinduzi (CCM).Alishinda kiti cha ubunge mwaka 2020 kwa kupata kura 11,690, akimshinda Mtoto Mwema Exavery Syprian wa ACT Wazalendo ambaye alipata 5,388.
Elimu:
Elimu ya Msingi: Alianza masomo katika Stadium Primary School (1974–1980).Elimu ya Sekondari: Aliendelea katika Lindi Secondary School (1981–1984).
Mafunzo ya Ualimu: Alihitimu Nachingwea Teachers Training College mwaka 1987 na kupata Cheti cha Ualimu.
Kazi na Uzoefu:
Alihudumu kama mwalimu katika Wizara ya Elimu na Utamaduni kwa kipindi cha miaka 20 (1985–2005).Baada ya kuwa mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (2005–2015), aliteuliwa kuwa Mwenyekiti wa WAMA na alikua Balozi wa Kiswahili Afrika.
Alikuwa Makamu wa Rais wa Wake wa Marais wa Afrika na mjumbe wa Kikundi cha Uongozi wa Juu kuhusu Haja na Haki za Vijana.
Michango Bungeni:
Salma ametoa michango 27 na kuuliza maswali 89 bungeni tangu aingie 2020.Kamati Kuu CCM:
Amekuwa mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM tangu mwaka 2012.
6. Amandus Julius Chinguile - Mbunge wa Nachingwea
Amandus Julius Chinguile ni mbunge wa Nachingwea kutoka mkoani Lindi, akitokea Chama Cha Mapinduzi (CCM).Aliingia rasmi bungeni mwaka 2020 baada ya kushinda kiti cha ubunge kwa kura 36,761, akimshinda Mmoto Mahadhi Yusuf wa CHADEMA aliyepata 27,801.
Elimu:
Elimu ya Msingi: Alianza masomo katika Nammanga Primary School (alihitimu 1992).Elimu ya Sekondari: Aliendelea katika St. Anthony Secondary School (alihitimu 1996).
Elimu ya Juu: Alihitimu Bachelor's Degree - International Medical and Technological University (2007–2012).
Kazi Nje ya Siasa:
Alikuwa Mkurugenzi Mtendaji katika vituo vya afya viwili, MICO Dispensary (Yombo Vituka) na Arafa Dispensary (Kilakala), kuanzia mwaka 2013 hadi 2020.Pia, alianzisha na kuongoza Chinguile Entertainment.