Mindyou JF-Expert Member Joined Sep 2, 2024 Posts 1,869 Reaction score 4,877 Nov 27, 2024 #1 Wakuu, Katibu Tawala Mkoa wa Lindi Bi. Zuwena Omary anawahamasisha wananchi kujitokeza kwenda kupiga kura kuchagua viongozi wanaowahitaji. Bi Zuwena ametoa wito huo leo Novemba 27, 2024 mara baada ya kupiga kura kuchagua viongozi wa serikali za mitaa. Your browser is not able to display this video.
Wakuu, Katibu Tawala Mkoa wa Lindi Bi. Zuwena Omary anawahamasisha wananchi kujitokeza kwenda kupiga kura kuchagua viongozi wanaowahitaji. Bi Zuwena ametoa wito huo leo Novemba 27, 2024 mara baada ya kupiga kura kuchagua viongozi wa serikali za mitaa. Your browser is not able to display this video.
Mwamuzi wa Tanzania JF-Expert Member Joined Apr 7, 2020 Posts 15,486 Reaction score 45,256 Nov 27, 2024 #2 Andika hapo COMEDY ZENU TUMEZICHOKA
Mindyou JF-Expert Member Joined Sep 2, 2024 Posts 1,869 Reaction score 4,877 Nov 27, 2024 Thread starter #3 Mwamuzi wa Tanzania said: Andika hapo COMEDY ZENU TUMEZICHOKA View attachment 3163230 Click to expand... Umechoka comedy za kina nani?
Mwamuzi wa Tanzania said: Andika hapo COMEDY ZENU TUMEZICHOKA View attachment 3163230 Click to expand... Umechoka comedy za kina nani?
Mwamuzi wa Tanzania JF-Expert Member Joined Apr 7, 2020 Posts 15,486 Reaction score 45,256 Nov 27, 2024 #4 Mindyou said: Umechoka comedy za kina nani? Click to expand... Za CCM