Kwangu hawa ndio wanaofaa kuishi katika dola la kiimla la jiwe! siyo hayo makamasi ya kaskazini! Ninakumbuka lindi nimeishi miaka ya 90! miaka hiyo wakati demokrasia ya vyama vingi ikiwa changa!
CCM kama kawaida yao ya kuchakachua kura za maoni walikosea wakawapelekea kiongozi asiye chaguo lao!. Alipigwa kipigo cha mbwa koko! na askari walipoenda kuwashunghulikia wananchi wakakutana na janga la mawe ambako silaha zao zilishindwa kutema risasi( sayansi ya kiafrika) ikabidi watimue! . Mwishowe walirudisha chaguo la wananchi!
Nasema amkeni watanzania: Lindi wameanzisha, Tarime juzi wametuonyesha walipomshambulia yule mlevi!