Uchaguzi 2020 Lindi: Majengo ya Serikali yachomwa, magari yaharibiwa kisa Uchaguzi

Hao dawa yao ni kuwatandika fimbo na kifungo cha Maisha. Akili zao zinaendeshwa na Matako ya akina Zitto Kabwe, Tundu Lissu n.k.
 
Wadhalimu wakitawala nchi huugua
 
Kama niko sawasawa,vita vya majimaji vilianzia maeneo hayahaya,wazee wetu wakikataa ukoloni wa Mjerumani.
Bila shaka vita hivi vilidumu kwa muda mrefu kama vitakavyodumu miaka hii kwa kuifikisha huu utawala wa KIPUMBAVU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…