Uchaguzi 2020 Lindi: Majengo ya Serikali yachomwa, magari yaharibiwa kisa Uchaguzi

Kwa kuufurumusha huu utawala wa KIPUMBAVU
 
Hii si sawa kabisa, watuhumiwa wafikishwe kwenye vyombo vya sheria
 
CHADEMA
Maoni yenu tafadhali
 
Hahaha uongo huu, juzi walisema Mtwara hali tete, leo wanatuletea habari za Lindi.

Mi nitasubiria kuona moto kwa macho yangu hapa Dar es Salaam, kama sitauona basi najua zote hizi ni story za kutengeneza.

Revolution will not be televised..

Unasubiri kuuona moto aliowasha nani..????
 
Taratibu uonevu wa serikali unatengeneza uasi. Watu wenye hasira kama hawa ni rahisi sana kurubuniwa na magaidi na kufanya vitendo vya kihalifu kwa sababu wanajiona hawana dhamani katika nchi yao
 
Kuna tatizo kubwa sana kwa kuwa na mkuu wa Dola ambaye pia ni mwenyekiti wa chama.
Yote haya yanatokea kwa sababu ya kulinda Chama na kuua utaifa wetu.

Mtu anapiga kampeni na kupoteza jasho lake na sauti yake miezi miwili halafu anashinda kwa kura za wananchi , lakini anatokea Mlarushwa mmoaja anapewa fedha kisha anabadili matokeo na kumtangaza akiyeshindwa.
Chuki inajengeka mana aliyeshindwa anapotangazwa huwa anajiona kuwa yeye ni bora zaid. Aliyevuruga uchaguzi anapandishwa cheo kama vile amefaya jambo jema sana.

Kwa asili ya binadam kila jambo baya lina malipo yake hapa apa Duniani.
 
Hao dawa yao ni kuwatandika fimbo na kifungo cha Maisha. Akili zao zinaendeshwa na Matako ya akina Zitto Kabwe, Tundu Lissu n.k.
Usifanye mchezo na umma.. Ukiona hivo ujue washachoka na ujinga wa watawala wezi
 
Wananchi wa huko ndio wanajua kudai kura zao
 
Nakuumga mkono kwa asilimia zote. Haiwezekani kibaka mtaani akiiba achomwe moto halafu mtu akipora haki za watu aachwe akitamba mtaani. Mimi naona Bavicha ni vijana waoga sana. Kile walichofanya watu wa Lindi kilitakiwa kitokee nchi nzima ile siku ya tarehe 29. Magari ya serikali yachomwe moto, nyumba za wakurugenzi wa halmashauri zote zichomwe moto, ofisi zote za ccm nchi nzima ziyeketezwe kwa moto, ofisi za kata zichomwe moto, gari la polisi litakaloonekana mtaani lichomwe moto. Hapo ndipo yutaheshimiana. Sasa vijana wetu ni waoga mno, very disorganized, yaani jamaa wanatamba kana kwamba hakuna kitu kibaya walichokifanya. Hii haikubaliki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…