Elections 2010 Lindi na ifakara mfano wa kuigwa

Elections 2010 Lindi na ifakara mfano wa kuigwa

Kashaijabutege

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2010
Posts
2,696
Reaction score
740
Lindi Mjini na Ifakara ni mfano wa kuigwa. Vilevile vyama vya upinzani vimeonyesha wazi kuwa vina sera za kuwajali walemavu. CCM wao wanaona walemavu ni watu wa kupewa ubunge wa mezani, yaani viti maalum. Upinzani unawawezesha na kuwathamini ili wakagombee majimboni.

Pole Regia Mtema wa CHADEMA kwa kuporwa ushindi wako na 'Orijino Komedi' Abdul Mteketa. Wewe bado kijana usikate tamaa.

Hongera Barwan wa CUF. Wewe uwe dira na uwashauri walemavu wengine kuwa CCM haina dhamira ya dhati ya kukomesha mauaji ya albino. Aliyoyasema mpinzani wako, si yake binafsi, bali ni mawazo ya wana CCM walio wengi. Lugha sio kwamba 'alibino ni wasahaurifu', bali 'Watanzania ni wasahaurifu'. Kamwage cheche bungeni.:israel::israel::israel:Barwan :sad::sad:Regia.
 
Back
Top Bottom