Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Kabisa,Wawape wananchi..mambo ya kuteketeza chakula siyo poa,enzi za magufuli waliteketeza vifaranga visivyo na hatua badala ya kuvigawaNImeziona hapo mtama nyuma ya ATM ya nmb Kuna mpaka mbao kibao sijui zilikamatwa lini zikatelekezwa pale..me nashauri serikali Bora igawe kwa wananchi vitu vyinavyokamatwa
wakifanya hivyo,utapunguza nguvu ya kurudisha kangomba (jokes). Hata hivyo, majivu yatayopatikana baada ya kuunguza korosho hizo yanaweza kurudishwa shambani na recycling itakuwa tayari.Mmh bora wangezifanyia recycle kama inawezekan ikazalisha kituingine..
Oooh asnt kwa hilowakifanya hivyo,utapunguza nguvu ya kurudisha kangomba (jokes). Hata hivyo, majivu yatayopatikana baada ya kuunguza korosho hizo yanaweza kurudishwa shambani na recycling itakuwa tayari.
Recycle mambo ya wenye akili hayo,sisi ni kuharibu tu ndio tunajuwa,hata wazo tu angefikiria kiwe chakura cha mifugo,ila ndio hivo.Mmh bora wangezifanyia recycle kama inawezekan ikazalisha kituingine..
Watu wengine ni washirikina huyu maza hafai kuwa kiongozi hana ubunifu wowote hata kdgMkuu wa mkoa wa Lindi Zainabu Telack akiwa kwenye kikao cha utekelezaji wa mpango wa kuboresha usimamizi wa huduma za ugani kwa wakulima wa korosho katika mikoa ya Lindi, Mtwara....
Hakuna kiongozi mwenye nia ya kusaidia wananchiNdo kwanza nimeanzisha shamba la mikorosho ya kisasa. Nikisikia vitu km hv naogopa kweli kweli!!
Sisemi kwa ubaya ila 98% ya wakuu wa mikoa na wilaya wanawake hawana uwezo na hawaji kuwa na uwezo kamwe hata wafundishwe miaka 200Ningekua rais mtu kama huyu asubuhi tu nishafukuza kazi na simpangii majukumu mengine yoyote aende akamlee mume. Pathetic!