Pre GE2025 Lindi: Wapiga kura wapya 121,187 watarajiwa kushiriki kwenye Uchaguzi mkuu mwaka 2025

Pre GE2025 Lindi: Wapiga kura wapya 121,187 watarajiwa kushiriki kwenye Uchaguzi mkuu mwaka 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wakuu,

Mkoa wa Lindi unatarajia wapiga kura wapya 121,187 kwa ajili ya uchaguzi ujao, huku vituo vya kujiandikisha vikiwa 1,308, ongezeko la vituo 70 ikilinganishwa na uchaguzi uliopita.

Makamu Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Mbarouk Salum Mbarouk, amewataka wadau wa uchaguzi mkoani Lindi kutumia nafasi zao kuhamasisha ushirikiano na kuhakikisha taarifa sahihi na za wakati zinatolewa kuhusu uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura.

Mkutano huo wa wadau umefanyika katika ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Lindi.

Lindi.png

Source: Mashujaa FM
 
Back
Top Bottom