Lindi: Watu watano wafariki kwa kunywa dawa ya kuacha pombe

Wasukuma kwa uchawi,kurogana, uganga ni hali ngumu ya maisha tu.
 
Mtu akiwa addict au alcoholic lazima achukuliwe kama ni ugonjwa kama vile cancer au magonjwa ya aina nyingine!
Huwa hawa pendi kuwa hivyo Lakini ubongo haukubali!
Hawa watu ni wa kuonea huruma sana walahi [emoji22]
 
Na ndio maana wahusika wanakwambie kunywa kistaarabu na si chini ya umri wa miaka 18 wanajua ukizidisha Kiwango itakuathiri vibaya na ukitumia chini ya Umri Mara nyingi huu umri sio wakujiamria/kujitegemea kwa maamuzi hivyo usija baadae ukawalaumu kwa adha utakayokutananayo.

Kiufupi usiombe utumbukie kwenye uraibu wa pombe au madawa ya kulevya utajuta na so swala la kuamua eti kua sasa naacha!! Thubutu!!!!!!! Jaribu mambo yote ila usijalibu madawa yakulevya ukijaribu umekwisha.

Pamoja mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…