LGE2024 Lindi: Zitto alalamika matokeo ya Kilwa Kusini kutotangazwa licha ya ACT kushinda baada ya kuzuiwa na Askari

LGE2024 Lindi: Zitto alalamika matokeo ya Kilwa Kusini kutotangazwa licha ya ACT kushinda baada ya kuzuiwa na Askari

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Wakuu,

1732784706340.jpeg

Kupitia ukurasa wa X Zitto Kaandikwa haya;

Kijiji cha Kiranjeranje kilichopo jimbo la kilwa kusini mkoani lindi,ACT Imeshinda kijiji na msimamizi aliamua kuwa atatangaza. Polisi wakamuambia maagizo hayako hivyo, yeye akasema tunatangaza matokeo kwa mujibu wa sheria na siyo maagizo. Askari wakampiga na kuondoka nae.

Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Matokeo mpaka sasa hayajatangazwa na msimamizi hajaachiwa na polisi amewekwa mahabusu kituo cha polisi kilwa MasokoHakukuwa na Uchaguzi bali ni maagizo. CCM inapiga na kuua raia ili ijitangaze kuwa washindi. So shameful
 
Back
Top Bottom