Line Up yangu ya kumchinja Jogoo wa Anfield ili tumlie Pilau

Mpira dakika tisini. Illa kwa hali ilivyo man u anafungwa hawako vizuri. Chochote kinaweza tokea na man u akifungwa leo hata nafasi ya nne haipati msimu huu. Hii game ni ngumu hassa kwa man u liverpool wazuri wana kasi na wana uchu wa ushindi. Akishinda man u itakuwa mwanzo mzuri wa marekebisho illa sare kwa man u ni ushindi kwao. Liverpool ana kila sababu ya kushinda illa mpira ni mchezo usiotabirika.
 
4- 2 - 3 - 1

De Gea

Valencia, Bailly, Smalling, Blind


Herreira Scheidelin


Rashford Pogba Martial



Ibrahimovic
 
4- 2 - 3 - 1

De Gea

Valencia, Bailly, Smalling, Blind


Herreira Scheidelin


Rashford Pogba Martial



Ibrahimovic
Liver 4-3-3

Karius

Clyne, Matip, Klavan, J.Milner

Lallana, Henderson, Wijnaldum,

Mane, Firmino, Coutinho
 
Hiyo atmosphere ya leo anfield mtatokaje kwa mfano na uwanja umeongezwa capacity. Tafuta game ya europa ya mwaka jana ya Liverpool vs Manchester utd or Liverpool vs Dortmond utapata picha kitakachotokea usiku wa leo
 
1.Dave
2.Toni
3.Shaw
4.Smalling
5.Bailly
6.Herrera
7.Mata
8.Pogba
9.Ibra
10.Micki
11.Martial
Nilikuwa napenda sana blind acheze ila kwa hii game ni yakukimbizana sana blind atulie tu nje, rashford aje baadae maana dogo uwa namuona ni hatari sana akianzia nje.
 
1.Karius
2.clyne
3.mpiga penalty
4.matip
5.klavan
6.hendo
7.mane
8.WILJNALDUM
9.firmino
10.coutinho
11.Lallana

mziki wetu ni uleule, na mtaucheza

Ila Leo Lallana na Wijna Hawatokuemo Ni Majrruhi Hao Wote Wawili! Nahisi Mbadala Wao Huenda Wakaanza Can na DS. Na Kulingana Na Mfumo Wa Klopp Huenda Akaanza Lovren Badala ya Klavan.

Liver 4-3-3

Karius

Clyne, Matip, Klavan, J.Milner

Lallana, Henderson, Wijnaldum,

Mane, Firmino, Coutinho
 
Mwanitesa united wanahali ngumu!
Game ya leo morinho anashuka anfid akiwa na presure kubwa kulingana na nafasi atakayokuwa after mechi.
YNWA
 
Luke Shaw na Mhkytarian wako fit kiafya hivyo Jogoo lazima leo achinjwe na tumpikie pilau
 
Mou amuanzishe micki bwana lingard weka nje.
Ni kwel..
Mick ana kasi sana na ni mzoefu zaidi.
Hvyo natumaini kwa mchezo wa leo unaohitaji speed, basi wachezaji kama Martial, Rashford na Mhktariyan wanahitajika zaid
 
Ni kwel..
Mick ana kasi sana na ni mzoefu zaidi.
Hvyo natumaini kwa mchezo wa leo unaohitaji speed, basi wachezaji kama Martial, Rashford na Mhktariyan wanahitajika zaid
Na yule Depay aka the new CR7
 
Always Mourinho akikutana na ndevu za Klopp anakuwa mdogo kama piriton. Cheki klopp na Dortmund yake alivokuwa anamtoa kamasi morinyo na Madrid yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…