Benny EM
JF-Expert Member
- Aug 31, 2011
- 488
- 349
Mimi niko morogoro kwa yeyote mwenye kufahamu wadau wenye kufanya michakato ya kupata laini ya uwakala tigo pesa wanitafute kwa namba 0765512663,0719510163.kwa sasa najua wamesitisha kutoa uwakala,hivyo basi kwa mdau ambae yuko serious anitafute,.bei tutaelewana../its very urgently!