Line Yangu Ndo Inayofaa...

Dada Judith sio sisi, bali ni midadi ikipanda, na hasa ukizingatia minara ya simu imekaribiana mno ndo inakuwa basi tena!
 
Shehetwani weeeee tena mkubwamkubwa tuu
 
Dada Judith sio sisi, bali ni midadi ikipanda, na hasa ukizingatia minara ya simu imekaribiana mno ndo inakuwa basi tena!

Simu za line mbili mkuu uwekaji wake matata, line place ziko karibu karibu mno, haswa kwenye giza utajikuta tayari line indumbukia kwenye Tigo na kutoa huwezi lazima upige tuuuuuuuuuuuuu
 
Shehetwani weeeee tena mkubwamkubwa tuu

Ukitumia TIGO hutasema maneno hayo Wallah nakwambia...jaribu siku moja, rahisi, inapatikana wakati wowote, masika hadi vuri...
 
haahahahahahahahha very very happy mchakato mgumu hadi nimeitwa fisadi mchakachuaji lol, nimejiondoa kwenye game bana Magulumangu, kila la kheri

makoyo kaka tuliendeleze libeneke mtu wangu, ila mshindi kwa judi lazima apatikane...hahahahah
 
Husninyo inakuwaje tena mkuu?Tunasutana tena wakati line tunayotumia ni ya TIGO?

muone vile. Tena shetwain kabisa.
Sisi tulifikiri unaongelea tigo simcard kumbe unaongelea vijambio vyetu.
 
jamani acheni usodoma. Mungu yupo nyie mjifanye wajanja na ma-tigo yenu hayo. mnadhani mnaweza kugeuza maumbile? thubutu! Mungu muumba ni Mungu, muacheni aitwe Mungu

Miss Judith karibu sana huku kwetu nyumbani!
kumbe hata huku wapatikana mama
nimezoea kukuona jukwaa letu kule la watu wazima!!!!!!!
 
jamani acheni usodoma. Mungu yupo nyie mjifanye wajanja na ma-tigo yenu hayo. mnadhani mnaweza kugeuza maumbile? thubutu! Mungu muumba ni Mungu, muacheni aitwe Mungu

kwa majibu yako dada Judith natamani tuonane, mana inaonesah ni msichana mwenye hekima please send me ur contacts through private message. Hapa sitanii am serious
 
muone vile. Tena shetwain kabisa.
Sisi tulifikiri unaongelea tigo simcard kumbe unaongelea vijambio vyetu.

Ala mkuu vipi tena, Vijambio ndo yale majambia ya kihindi au unamaana gani hapa? Nayo yameanza siku hizi kuwa na mawasiliano au?
 
kwa majibu yako dada Judith natamani tuonane, mana inaonesah ni msichana mwenye hekima please send me ur contacts through private message. Hapa sitanii am serious

Hivi wewe lini utaacha mchezo wako wa kununua mbuzi kwenye gunia? Nani kakwambia ana hekima? wewe ngoja siku moja utanunua lile joka linaitwa Nghobogo linapatikana porini hulia kama mbuzi, hapo ndo utakoma kupenda milio ya mmeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…