Line za M2M kwa 12K

Line za M2M kwa 12K

Habari za jioni, kuna ofa ya line za kampuni moja ya mtandao wa simu zinazoitwa M2M ambazo ni maalumu kwa ajili ya Data tu na si vinginevyo

Nakusajilia popote ulipo endapo una namba ya Nida au kama ni mkazi wa Dar es Salaam tunaweza kukutana physically pia ofisi ipo karibu na kituo cha Muhimbili cha mwendokasi

Utaratibu kama uko mbali ni kwamba utaenda kwa wakala yoyote na kununua line mpya ambayo haijasajiliwa kisha utapiga picha baadhi ya details nitakazokuelekeza na kunitumia namba ya Nida na baada ya muda mfupi tu usajili utakuwa umekamilika. Bei ya line moja ni 12K tu, Karibu PmView attachment 3239307
Mimi ninataka uje nilipo
 
Utaratibu kama uko mbali ni kwamba utaenda kwa wakala yoyote na kununua line mpya ambayo haijasajiliwa kisha utapiga picha baadhi ya details nitakazokuelekeza na kunitumia namba ya Nida na baada ya muda mfupi tu usajili utakuwa umekamilika. Bei ya line moja ni 12K tu, Karibu Pm
Tutajuaje kama siyo tapeli?
Huyo wakala yeyote mnajuana ili yakibuma iwe rahisi kukukamata?
Je hiyo M2M imesajiliwa na ofisi zake ziko wapi?
 
Tutajuaje kama siyo tapeli?
Huyo wakala yeyote mnajuana ili yakibuma iwe rahisi kukukamata?
Je hiyo M2M imesajiliwa na ofisi zake ziko wapi?
Ndio mkuu hapana shaka kwa hilo na hata ukitaka unakuja ofisini ndio maana nikatoa maelekezo ya ofisi pia
 
Back
Top Bottom