Line za Tigo Pesa

MRSH

Senior Member
Joined
Dec 27, 2012
Posts
104
Reaction score
21
Hbr za jion wakuu,Nimesikia tetesi ya kwamba tigo wamesitisha kutoa line za tigo pesa, hivi ni kweli au ni maneno tu ya mtaani.Je Mpesa na airtel money nao vp?Line zapatikana?
 
ni kweli ygo wamesitisha huduma ya kutoa uwakala wa tgo pesa airtel money na m pesa zinapatikana nitafute kwa namba 0682933868
 
Shukran Eliamini.Hebu kwanza nicofirm na wadau wengine kama ntapata ya tigo pesa then ntkutafuta.BTW, do you have an idea why?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…