Ndiyo zina expire date, lakini kama ulikua unatumia na kuweka voucher kila mara basi muda unaongezeka wa kuexpire.
Nenda office za TIGO wakuangalizie tatizo nini. Yangu mara ya mwisho nilikua siwezi check salio wala kupiga, nilivyo enda ofisini kwao waka reactivate.