Mr Confidential
JF-Expert Member
- Jul 1, 2018
- 1,532
- 2,415
Mkuu labda kama mashariti yamebadilika lakini TIN number hapewi mtu mwenye mwamvuli chini ya mti bali wanachokitaka ni mkataba wa pango kwanza.Kwenye leseni ndo kuna makorokoro kule. Mkataba wa pango akati Nina meza tu ya kuchomeka mwamvuli
TIN ni utambulisho wa mlipa kodiMkuu labda kama mashariti yamebadilika lakini TIN number hapewi mtu mwenye mwamvuli chini ya mti bali wanachokitaka ni mkataba wa pango kwanza.
sawa lakini sasa wale wenye miamvuli hawalipi kodi ndomaana hawatoi tin namba au lesseni kwa watu kama waleTIN ni utambulisho wa mlipa kodi
Uwe na TINWanapataje line za uwakala kwa halali?
Kama TIN nilifungua 2012 halafu sikuifanyia kazi naweza kuitumia?
Unatumia tu mkuu hakuna shida yoyote.Kama TIN nilifungua 2012 halafu sikuifanyia kazi naweza kuitumia?
Sent using Jamii Forums mobile app