Maoni Yangu: Mi nadhan Linex anastress za wimbo wake kutofanya vizuri kinyume na matarajio, alikuwa na matarajio makubwa Sana kwavile Diamond yuko ndani, hiyo video sio mbovu kwa kiwango anachosema, na sidhani Kama kuna TV bongo inaweza kukataa kuucheza kwasababu ya quality, mbona wanachezaga video mbovu maranyingi tu, Linex stress zako usizihamishie kwa Adam Juma, usimtafute mchawi jipange!

Mkuu video yenye budget ya 5 milioni and i'm sure itakua less than that unataka ipigwe channel O c'moooon basi Diamond atakua mwehu kwa kuweka 40-50 kwenye video zake,kwa 5 milioni AJ atakodi vifaa vya kisasa kwa nani angalia video ya UTANIPENDA behind the scene ile crew yote si wangegawana laki laki tuacheni utani bwana na lawama kwa directors wa nyumbani kwa pesa ya bia.Fuatilia mambo ndio ukomment... Channel 0 walikataa kuicheza hyo video wakasema haina Quality
Mkuu video yenye budget ya 5 milioni and i'm sure itakua less than that unataka ipigwe channel O c'moooon basi Diamond atakua mwehu kwa kuweka 40-50 kwenye video zake,kwa 5 milioni AJ atakodi vifaa vya kisasa kwa nani angalia video ya UTANIPENDA behind the scene ile crew yote si wangegawana laki laki tuacheni utani bwana na lawama kwa directors wa nyumbani kwa pesa ya bia.
Kama unafahamu Linex utakua unanielewa,kwanza kasema kalipa 5 milioni ambayo AJ hajawahi kulipwa yeye kavunja rekodi usiniulize Mavoko kwenye pacha wangu aliweka mzigo kiasi gani naomba hata nijuzwe kituo gani kiligoma kuipiga ile video kisa ubora hapa Tz uyu Sunday awe na akiba ya maneno kwa maisha yake ya kisela vitu vingi anaunga unga atajifelisha mwenyewe nakumbuka AJ alisema ubovu wa video nyingi ni budget finyu wanaishia kuomba magari kwa washikaji kwa kua uwezo wa kukodi haupoUnachanganya mambo,Linex hakutaka kufikia viwango vya Diamond ile video nafikiri hata Adam Juma akiambiwa alete list ya video zake mbovu lazima ataiweka
Kuna video nyingi zimetengenezwa na ma-director wa bongo (include Adam Juma) kwa budget ndogo kuliko hiyo 5m lakini ni nzuri.
Ile video hata kwa standard za hapa bongo ni mbovu
Sasa ulitegemea video ya milion 5 ipigwe channel O? tutaendelea kulaumiana tuFuatilia mambo ndio ukomment... Channel 0 walikataa kuicheza hyo video wakasema haina Quality
Mkuu video yenye budget ya 5 milioni and i'm sure itakua less than that unataka ipigwe channel O c'moooon basi Diamond atakua mwehu kwa kuweka 40-50 kwenye video zake,kwa 5 milioni AJ atakodi vifaa vya kisasa kwa nani angalia video ya UTANIPENDA behind the scene ile crew yote si wangegawana laki laki tuacheni utani bwana na lawama kwa directors wa nyumbani kwa pesa ya bia.
Mkuu video ya Pacha wangu ya Mavoko imefanyiwa South Africa na na Salima imefanyiwa bongo,unatagemea cost ipi itakuwa ghali na director hakuwa AJ peke yake kuna mshikaji mwingine alishiriki.Linex anaweza kuwa na matatizo yake lakini nasisitiza ile video ya Salima ilikuwa mbovu mno kuna video za bei rahisi kuliko hiyo lakini ni nzuri na uzuri wa video sio gharama tu ni script ya directorKama unafahamu Linex utakua unanielewa,kwanza kasema kalipa 5 milioni ambayo AJ hajawahi kulipwa yeye kavunja rekodi usiniulize Mavoko kwenye pacha wangu aliweka mzigo kiasi gani naomba hata nijuzwe kituo gani kiligoma kuipiga ile video kisa ubora hapa Tz uyu Sunday awe na akiba ya maneno kwa maisha yake ya kisela vitu vingi anaunga unga atajifelisha mwenyewe nakumbuka AJ alisema ubovu wa video nyingi ni budget finyu wanaishia kuomba magari kwa washikaji kwa kua uwezo wa kukodi haupo
Haaaa haaa dance with me ya Juma ilitoka mwaka gani fananisha mapinduzi ya video kipindi kile na leo alafu changamsha ubongo wako budget ni kila kitu kwa sasa kwenye video zamani directors walikua wanakomaa bure kutengeneza jina sasa ivi pesa mbele nenda muulize Nisher video yake ya kwanza na Weusi alipewa nini(bureeee) kabisa sasa ivi hakuna kubahatisha weka mpunga watu walete vifaa na materials kwa ajili ya video narudi 5 milioni ni haiko mbali na video za kipaimara.You should be big headed thinking like every best video played by chanel is of that cost you think... fuatilia ujue gharama za video za cabosnoop zilitengenezwa by how much and still got airtime...
Usichokijua ni kwamba kwa hyo hyo milion Tano adam juma almhakikishia itakuwa best video itakayokuwa na level za kimataifa.. Ndio maana baada ya kukataliwa na international chanels adam juma alimpa linex nafas ya kufanya nae video bureeeeeeee..
Unasema milion tano ni pesa ndogo kutengeneza video nzuri... Unaifaham track ya juma nature Dance with me??? kwa taarifa yako video yake haikufikia hata milion tano lakin ilikuwa nominated kwenye tuzo za kora kama miongon mwa video bora..
Fuatilia mambo