Linex: Issue Kutoka na Agness Masogange Imenisababishia Matatizo

Linex: Issue Kutoka na Agness Masogange Imenisababishia Matatizo

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304



Msanii kutoka Kigoma na memba wa kampuni ya Leka Dutigite Linex Sunday Mjeda ameendelea kutoa kilio chake juu ya uzushi ulioenezwa siku kadhaa zilizopita baada ya kupost picha mbalimbali akiwa na video vixen maarufu wa hapa bongo Agnes Gerald aka Masogange.

Baada ya picha hizo kusambaa Linex alikana habari zilizoandikwa na baadhi ya blogs kuwa ana uhusiano wa kimapenzi na mrembo huyo.
"ni kweli watu wa blog mnapush sana kazi zetu but nimesikitishwa na habari hii iliyoandikwa na blog kadhaa mtasababisha tutashindwa ata kukaa na Dada zetu au marafiki zetu Uliza b4 Hujaandika ujinga am single na sina haraka ya kua na mpenzi." Aliandika Linex kwenye akaunti yake ya facebook.



Kupitia Facebook jana mwimbaji huyo wa ‘Kimugina' ameendelea kulalamika juu ya matokeo ya habari hizo za uzushi:
"Daaah Uzushi ulioenezwa na baadhi ya blog miyeyusho umesababisha Umenitofautisha na familia yangu ndugu jamaa na marafiki wish kama Mungu awafunue ndugu jamaa marafiki washabiki wangu waujue ukweli bado naendelea kupokea cm nyingi za maswali japo nilishaongea b4 kwamba sina mahusiano na Masogange daaaaah."
 
Hivi huyu alishamwagana kumbe na yule mzungu wake daah!!! So bad.
 
Sasa ndugu ndio wakupe homa wakati wewe ni mtoto wa kiume,angekua Domo hata asingekana mtoto mahips yote hayo unakana,???
 
unajishaua tu hapa nawe, watu wanatafuta hata chance ya kukaa nae we umeshika hadi hayo mahagga
afu unajidai umepata matatizo matatizo gani
umefukuzwa home au?
 
Wale wanaofahamika kihivo ni sababu ya scandal??????????/

Mwanamuziki gani wa kiume anayefahamika sana, au msanii wa filamu wa kiume? Ambaye amepata umaarufu bila scandal? Nazungumzia ule umaarufu had wakina bibi kule chalinze wanamfahamu
 
Mwanamuziki gani wa kiume anayefahamika sana, au msanii wa filamu wa kiume? Ambaye amepata umaarufu bila scandal? Nazungumzia ule umaarufu had wakina bibi kule chalinze wanamfahamu

Mbona ni wengi sana..................

ila hujajibu swali langu bado..........
 
Sasa ndugu ndio wakupe homa wakati wewe ni mtoto wa kiume,angekua Domo hata asingekana mtoto mahips yote hayo unakana,???

Ha ha ha ha ha ha Duh Dinazarde post zako zinanipa hamu natamani nikuone live, maana full kuwaripua vibomu!!!Mtoto wa kiume unaogopa toto la KIKE linaloliwa tyming na wazee wa mujini.
 
Linux ukome kupiga pich a za kihasa hivyo,wacha wakulaumu,maana wakati mnapiga hiyo picha ya kipuuzi hukufikiria impact yake ktk jamii? au bia zilikuzingua?
 
Back
Top Bottom