Linex: Nilipigiwa simu na Dj Khaleed nikachanganyikiwa.

Aisee hata mimi nilicomment kwa Trump kule twitter, nikamwambia kama atahitaji waziri toka afrika anipigie tu, sasa jana usiku wakati nimelala akanipigia bwana sema simu ilikua kwenye silent, sikuisikia naamka nakuta 5 missed calls from Trump.
ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha nacheka ki hapa kazi tu!
 
HAHAHAHA huyu dish limeyumba kabisa kwakweli nimecheka sana
 
Linex alienda kuhojiwa bila kutumia dozi zake za ukichaa Fluoxetine? Duh...
 
Aache zake nayeye mbona hajiamini kupigiwa simu na huyo jamaa kachanganyikiwa? Sisi wabongo sisi

Sent from my EVA-L19 using JamiiForums mobile app
 
Anamaanisha kwamba DJ Khalid ni bora zaidi kuliko yeye. Mtu kama huyo hawezi kufanya ushindani level ya kimataifa kwa kuwa hajiamini.
 
Sijawahi waza kama huyu jamaa ni mburura kiasi hiki

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Wasanii mkiona mmepata .vijicent kidogo basi rudini shule

Sent from my HUAWEI Y330-U11 using JamiiForums mobile app
 
Kama hii habari ni ya kweli basi huyu Linex kuna nati itakuwa imekata.

Msolo[emoji769] 2017
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Najua kuchanganyikiwa kwa furaha kupo lkni bwana linex angejikaza kiume akaongea ajue anasema nini maana kitendo cha kupigia simu Dj Khaleed ni sawa na kuokota dhahabu bombani.Aiseeh.
Ameshapaisha penati kizembe kabisa..

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Sasa Dj Khalid anakupigia unaanza kushangaa anakuona tayar wewe ni kama mshamba fulani hivi.. Msanii unatakiwa ujiamini pumbaaaav na nusu

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…