Ni jambo la kushangaza inakuwa vipi huyu jamaa yetu Linex Sunday Mjeda bado watu hawampi heshima anayostahili ktk tasnia ya muziki wa Tanzania. Pengine akiweka kambi nchi ya jirani chini ya menejimenti na promota makini, nyota yake itangaa na kuwa ' Juu Mawinguni' - Pierre Liquid wote kuiona.