Linex ( Sunday Mjeda ) moja ya wasanii wa kipekee na wanaojua lakini muziki unawatupa mkono

Linex ( Sunday Mjeda ) moja ya wasanii wa kipekee na wanaojua lakini muziki unawatupa mkono

Mkaruka

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
19,629
Reaction score
34,199
To be Honest,

Tanzania tumebarikiwa vipaji yaani kuna watu wanajua mpaka wanakera lakini "System" inaonekana kama inawatupa mkono sijui kwanini ?


Unasikiliza wimbo mpaka unasema Damn .Ngoma imeshiba


Enjoy


1.


2.ttps://www.youtube.com/watch?v=99CJvFR-_JI


3.



4.
 
Aendelee tu kuwa ghost writter kwasababu yeye mwenyewe kuimba hawezi na kama anaweza basi hana upepo.
 
Akipendacho binti mwanamme lazima atanunua,ongeza bidii uwe kama zamani
 
Back
Top Bottom