Kuna watu wanapotea na wana vipaji vya aina yake. Ngoja tusubiri wafe tuje tuanzishe nyuzi za kuwasifia.Sijui kwanini ?
Na jamii inawapuuza watu wa maana. Siyo kila siku nyimbo za kitandani kwichi kwichi, mauno feni n.k
Linex hajui kuimba??????????Aendelee tu kuwa ghost writter kwasababu yeye mwenyewe kuimba hawezi na kama anaweza basi hana upepo.
Mkuu unamuonaje mwanamuziki Damian soul?To be Honest,
Tanzania tumebarikiwa vipaji yaani kuna watu wanajua mpaka wanakera lakini "System" inaonekana kama inawatupa mkono sijui kwanini ?
Unasikiliza wimbo mpaka unasema Damn .Ngoma imeshiba
Enjoy
1.
2.ttps://www.youtube.com/watch?v=99CJvFR-_JI
3.
4.